Nimeandaa Daku kwa ajili ya wafungaji ,Karibuni jamani...!!

Nyoka_mzee

JF-Expert Member
Nov 26, 2016
3,695
5,531
Katika kutafta fadhila za mwezi huu,nimeona heri ni waalike mje kula daku,kutokana na ftari wengi washajitolea kufutulisha ,acha na mie niwalishe Daku ,kwa mwenye kuweza karibu mida Sita usiku...
 
Mgejua hiyo daku yenyewe ilipo....yaani kwa wale mliopo dar mpande mabasi yaendayo kahama mkifika sehemu moja inaitwa MWAKATA mnashuka kisha mnanyoosha njia iendayo NKATA mnauliza kwa mwenyekiti wa KATA mnamuambia awaelekeze kwa Nyokamzee akisema atawapeleka kesho MKATAE KATA KATA MPAKA ATAKAPO AMUA KUKATA MITI YA KATA akikata miti basi mnaanza kutembea kwa KWATA kuelekea NKATA
 
Back
Top Bottom