Nimeamua, sihongi tena

Nimeamua, sihongi tena

ujinga ni wakati wa kwenda sasa washakula ndo umestuka pole sana ndugu
 
huna ela wewe sifa ya mwanaume kuhonga
Ujinga huo, mwanaume anaye jielewa hatumi pesa kumnasa mwanamke, bali mdomo tu,

Kutumia pesa ni udhaifu
 
Ukihonga Honga kwa Akil *Sipend Ujinga *
1475008224832.jpg
 
Hakuna tofauti hapo, na zaidi nikwamba na wao siku hizi wana mbinu za kila aina unaweza fikiri unatoa pesa tu kama unavyo sema kumbe unahonga bila kujijua, hii kitu ndio siitaki tena
Tudokeze hizo mbinu Mkuu uenda tupo wengi humu
 
Back
Top Bottom