Nakuombea ufanikiwe ndugu, usipo dhamini kila shiringi moja, kamwe hutotimiza kumi.Yaani ndugu hili jambo nimesha litafakari sana nakupanga mkakati wake, na hakika nitafanikiwa tu
Kuhonga kupo tu, ukitamani mwanamke ni vigumu kukwepa gharama, ziambatanazo na kungonoka, yeye usimpe hela, ila utalipa guest, utalipa bodaboda, bajaji, nauli ya daladala ama Tax. Na akiwahi kufika kabla yako kwenye ahadi utamwambia aagize kinywaji/ kilaji na hizo gharama za usafiri ni kuja na kurudi.Watoto wazuri kuwapata sio lazima kuhonga, sasa nikugegeda bila kuhonga
Yaani campaign yangu nikwamba nikipata demu namuweka ndani basi atafaidi vya ndani tutakula naye, lakini sio mademu wa barabarani tena wakuokota okota fasta guest , sasa NoooooKuhonga kupo tu, ukitamani mwanamke ni vigumu kukwepa gharama, ziambatanazo na kungonoka, yeye usimpe hela, ila utalipa guest, utalipa bodaboda, bajaji, nauli ya daladala ama Tax. Na akiwahi kufika kabla yako kwenye ahadi utamwambia aagize kinywaji/ kilaji na hizo gharama za usafiri ni kuja na kurudi.

yaani nimepigwa sana , sasa sitaki tena labda niwapige wao , na hii itakuwa zamu yao sasa
kwahiy demu uliyenae akuchuni au mbovu au unapiga puchuUmechelewa sana kufanya hayo maamuzi magumu.Mimi huo ujinga nilisha acha tangu mwaka jana.
Mkuu kipaumbele changu kipo kwa watoto wangu.Dem wangu wa sasa anajiweza kiuchumi.kwahiy demu uliyenae akuchuni au mbovu au unapiga puchu
Unaenda hotel unalipa elfu 30 chumba,ukimaliza unampa binti 20 au 30 tena na yeye.jumla ni 60elfu,maisha ya kawaida ya mTanzania hyo pesa kwenye familia yake ndogo anaitumia siku zisizopungua tatu mpaka 4.na kule ukishamaliza na mchepuko ndo unaanza kujuta,ukweli ni kwamba umewaza jambo jema sana,walishatugeuza ATM.wakipatikana wanaume kama ufikiliavyo utaona jinsi ya stayle za kunyoa nywele kwa wadada wengi mjini,haiwezekani una ndugu vijijini wana shida hata ya pesa ya dagaa elfu2 tu impe chakula cha siku lakini hauipeleki na badala yake unampa mdada wa town kwa kufanya ngono then anaipeleka salon kuweka manywele yao ya bandia kwa pesa mingi tu..JITAMBUEsalaam wana jf,
Mwenzenu sasa nimeamua kufunga mlango na dirisha la tabia ya kuhonga honga kwa namna yoyote kwani nimegundua hii tabia inarudisha nyumba maendeleo yangu sana,
yaani mwanamke ambaye hayupo kwenye familia yangu basi hata aje na style gani yakuniomba pesa, sitoi hata cent, maana kuna baadhi ya wanatumia mwanya huu kunimaliza sana,