Nimeamua, sihongi tena

Nimeamua, sihongi tena

sab

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2013
Posts
5,746
Reaction score
4,350
Salaam wana JF,

Mwenzenu sasa nimeamua kufunga mlango na dirisha la tabia ya kuhonga honga kwa namna yoyote kwani nimegundua hii tabia inarudisha nyumba maendeleo yangu sana.

Yaani mwanamke ambaye hayupo kwenye familia yangu basi hata aje na style gani ya kuniomba pesa, sitoi hata cent. Maana kuna baadhi ya wanatumia mwanya huu kunimaliza sana.
 
Sawa mkuu. Nadhani hii ni taarifa
 
salaam wana jf,

Mwenzenu sasa nimeamua kufunga mlango na dirisha la tabia ya kuhonga honga kwa namna yoyote kwani nimegundua hii tabia inarudisha nyumba maendeleo yangu sana,

yaani mwanamke ambaye hayupo kwenye familia yangu basi hata aje na style gani yakuniomba pesa, sitoi hata cent, maana kuna baadhi ya wanatumia mwanya huu kunimaliza sana,
mkuu tafuta dem mbovu ndo solution hapa hawanaga shida
 
Nikupongeze kwa kuwaza mbali hivyo, huwezi fikia mafanikio yanayohussha fedha bila kujibana, hasa sisi wa kipato cha kawaida. Zoezi hilo lazima liende sambamba na kuacha mchepuko, maana starehe garama, ukiweza hilo hongera sana. Mimi sina mke sasa sijui ninapofanya sijui nako ni kuchepuka maana sina njia kuu, naweza nikajima mwenzi mmoja hadi miwilli, ila baadae hinishinda na kupanga bajeti ya papuchi na punguza uzito namlipa hatujuani tena.
 
Yaani ndugu hili jambo nimesha litafakari sana nakupanga mkakati wake, na hakika nitafanikiwa tu
 
Kwetu Iringa, kama yalivyo maeneo mengine ya Tanzania kama Ruvuma, Kilimanjaro, Mwanza, Mtwara nk wapo matajiri wakubwa na pia wapo masikini wakutupwa, wawe wameoana wenyewe kwa wenyewe au wameoa kwenye makabila tofauti, yakiwemo uliyotaja. Kabila la mke haliwezi kuwa kigezo cha mwanaume kuwa Tajiri.
 
Mm naendelea kuhonga .......we shauri yako utakosa watoto wazur mjin
 
Kwa hela gani uliyokuwa nayo hadi nawewe uhonge ndugu yangu...mambo mengine yakupite tu
 
salaam wana jf,

Mwenzenu sasa nimeamua kufunga mlango na dirisha la tabia ya kuhonga honga kwa namna yoyote kwani nimegundua hii tabia inarudisha nyumba maendeleo yangu sana,

yaani mwanamke ambaye hayupo kwenye familia yangu basi hata aje na style gani yakuniomba pesa, sitoi hata cent, maana kuna baadhi ya wanatumia mwanya huu kunimaliza sana,

WEKA PICHA YA UTHIBITISHO!
 
Alishasema @lala1 kuwa hakuna anayetaka kwene motoni kijinga
 
Umechelewa sana kufanya hayo maamuzi magumu.Mimi huo ujinga nilisha acha tangu mwaka jana.
 
Back
Top Bottom