Nimeamua nijipende mwenyewe

Nimeamua nijipende mwenyewe

Hahahaa nobody loves you unconditionally hata kama ni mzazi wako... Hata mama yako aliyekubeba miezi tisa tumboni.
Mwanadamu hupendwa kwa kile anachoweza kuwanufaisha wengine...

Mzee na wewe kuwa tuu hivyo.

Jipende wewe kwanza na Usitafute kupendwa tafuta kuwa na vitu ambavyo Watu wanavipenda
Ngoja niongezee nyama. Viumbe vinavyopendwa unconditionally ni WANAWAKE NA WATOTO TU. Mwanaume kupendwa kwako kunategemea unaleta nini mezani. So asitomee mwanamke yoyote anakakudanganya kuwa anakupenda unconditionally.... Jua anakudanganya. Jua she is with you sababu you provide her needs But as soon as utakapopoteza kinachokuingiza kipato then she will leave you. Anaweza asiondoke siku utakapopoteza hiyo kazi but the countdown ha begun.
 
Si umeona wewe kikosi cha mizinga unawaepuka. Inamaana kuna ambao hawako hivyo ndio unapatana nao right[emoji16][emoji16]
Yeah nina principles zangu tu katika ku deal na mahusiano! Parasites hapana, they ain’t my type huwa sifurahii kuona napewa penzi sababu nalipia vitu flani flani😅 huwa napenda mtu afurahie company yangu zaidi na kiukweli huwa tunainjoy. Wanawake ambao wako opposite na hio character wapo. Plenty of them sema unahitaji kuwa smart tu kuwapata sababu si common uswahilini!
 
Yeah nina principles zangu tu katika ku deal na mahusiano! Parasites hapana, they ain’t my type huwa sifurahii kuona napewa penzi sababu nalipia vitu flani flani[emoji28] huwa napenda mtu afurahie company yangu zaidi na kiukweli huwa tunainjoy. Wanawake ambao wako opposite na hio character wapo. Plenty of them sema unahitaji kuwa smart tu kuwapata sababu si common uswahilini!
Na ukishaweza kutambua hilo huwez lalamikia vikosi vya mizinga.
 
"Ila mahusiano kwa sasa ni magumu maana wanawake wanaangalia wanafaidika nini kwako kiuchumi ndio wakuchagulie aina ya kifurushi cha upendo cha kukupa[emoji4]"
 
"Ila mahusiano kwa sasa ni magumu maana wanawake wanaangalia wanafaidika nini kwako kiuchumi ndio wakuchagulie aina ya kifurushi cha upendo cha kukupa[emoji4]"
😅😅😅😅😅😅😅 ndio dunia mnatakiwa muishi nayo
 
Tafuta wa size yako. Sio unamtaman mwanamke kama hamisa mobeto halafu mbahili na unamuona yule yupo after money.

Wapo wanawake wanaosaka kupendwa tu.
Shida nyakati tulizopo nadhani pia zinachangia wanawake wawe muwe hivo

Maana mnapenda sana kujitamba mbele ya rafiki na watu wenu wa karibu kwamba unafaidika na mtu ulienae
 
Hahahahahahah anatumia bundle maana likianza kuisha ndo network inaanza kukata kata [emoji28] mara bwaah cannot be connected check settings and retry again!
[emoji16]Dah! umetumia 100% ya kifurushi chako au sio
 
Pole sana mzee baba[emoji28] nimecheka hapo kwenye kibao cha kusindikiza thread!

Next time usiweke mayai yote kwenye kapu moja wala usijidanganye kuwa ukisimamia ukucha na kunyonya kitobo ndio hutaachwa, salio ndio msemakweli tu hakikisha unazo za kukuweka mchezoni walau utafaidi faidi.

Mahusiano ya sikuhizi ni kama vibarua vya saidia fundi tu leo kipo kesho hakipo unatafta sehemu ingine [emoji28] ya kuishi! Hakikisha una namba za mafundi wengi usilale njaa.
[emoji16]Huu ni moja ya mifano hai mikubwa sana
 
Ahahahah hapo kwa maza nakataa. Hamna kiumbe atakaekupenda unconditionally zaidi ya mama yako! Umewakosea sana akina mama unless wewe ni adopted child!

Hata baba yako anaweza akaku bullshit ila sio mama yako mzazi! Never on dis earth.
Yuko sawa
Mkishakua wakubwa mzazi huangalia nani anampa tafu zaidi ndio humpenda sana.
 
Kumpenda mtu na kumspoil ndio matumizi ya pesa sasa!

Hapo changamoto kubwa iliompata bwana Rash Pandit Singasinga ni hapo kwenye kuhonga hana hela[emoji28]! Kupenda amna mtu ambaye hana upendo ila ku care kwa mwanamke wa kileo ni ku respond kwenye mizinga yake. Hata uwe unampa zawadi na pedi kila mwezi ila kama humpi cash uko kwenye risk!

Mie ndio maana madem njaa njaa siwashobokeagi kwa kweli[emoji28] wale wa mizinga 24/7.
Asee! na ubaya ndo tunaokutana nao
Wanawake wahitaji kwa hapa kwetu ni zaidi ya 95%
 
Aisee! Mbona umechelewa kuyajua, nilikua na mawazo kama haya tangu awali, na kwelindivyo ilivyo, Hakuna atakayekupenda kweli kweli kama hakuna namna anafaidika na wewe , Jiwekeze zaidi.
 
Yeah nina principles zangu tu katika ku deal na mahusiano! Parasites hapana, they ain’t my type huwa sifurahii kuona napewa penzi sababu nalipia vitu flani flani[emoji28] huwa napenda mtu afurahie company yangu zaidi na kiukweli huwa tunainjoy. Wanawake ambao wako opposite na hio character wapo. Plenty of them sema unahitaji kuwa smart tu kuwapata sababu si common uswahilini!
Yeah! yani ni parasites tena viwavi jeshi
Akikusaidia sana utabaki mpenzi wa kwenye simu ila mbususu yake utaisikia kwenye bomba
 
Aisee! Mbona umechelewa kuyajua, nilikua na mawazo kama haya tangu awali, na kwelindivyo ilivyo, Hakuna atakayekupenda kweli kweli kama hakuna namna anafaidika na wewe , Jiwekeze zaidi.
Yani inauma sana kwa sie wenye roho za kihindi tuliozaliwa africa
 
Yeah! yani ni parasites tena viwavi jeshi
Akikusaidia sana utabaki mpenzi wa kwenye simu ila mbususu yake utaisikia kwenye bomba
Hahahahah wanazingua sana hawa watu! Anakulainisha kwa simu af mbunye hatoi unakuwa unampa hela wewe tu.
 
Back
Top Bottom