Nimeamua nijipende mwenyewe

Nimeamua nijipende mwenyewe

Unakuta mwanamke Ana wanaume watano!
Na kila wiki lazima Kuna dume moja linalojali limtumie buku Tano Mara Tano 25k

Kwaiyo ukitoa vicoba Hawa wanawake wanatufanya sisi kuwa vitega uchumi vyao.

Bora ujipende tu, uku unatafuta pesa.. alafu unakuja kuoa Pini moja qaliiiiiii Tena biqra.

Maendeleoniwewe.

Sent from my vivo 1906 using JamiiForums mobile app
Kabisa mkuu tena hata mbususu kuipata itategemea katika kutuma nani kamfrahisha zaidi.
Maana kama mimi hizi ten ten nshampa nyingi sana ila bado haisaidii.
 
Hahahaa nobody loves you unconditionally hata kama ni mzazi wako... Hata mama yako aliyekubeba miezi tisa tumboni.
Mwanadamu hupendwa kwa kile anachoweza kuwanufaisha wengine...

Mzee na wewe kuwa tuu hivyo.

Jipende wewe kwanza na Usitafute kupendwa tafuta kuwa na vitu ambavyo Watu wanavipenda
Kabisa mkuu
 
Kuna mmoja nilimtokea akanizungusha ila alinikubalia kiaina. Ikafika muda napiga simu hapokei, hajibu text, siku aliponibkue tick nikafuta namba yake nikadeal na wengine. Jumatano akanitafuta tunaongea vizuri ila kuonana bado anazingua. Wakati tunaongea akachomekea basi tutaonana next week maana ana birthday. Nikajua kanitafuta birthday yake vile inakaribia, nikakumbuka demu mwingine niliyekuwa nishasahau akanitafuta birthday ilipokaribia nikampiga U-turn basi nikatabasamu.

Mwingine alinizungusha hivyo ilipofika birthday akaniita sikutokea. Ikaisha nikamtafuta tuonane hakukubali, muda ukapita akaja nicheki anadai anaumwa nikamuone. Nikaona haina faida kwangu.

Niliacha ujinga wa kujifanya najali hisia wakiwa na shida. Angel aliponifanyisha liparty lake nikatoka hapo kapa nikaambulia urafiki wa kumkopa na kuliliwa shida
[emoji2][emoji2]Dah! yani kaka ni hatari asee!
 
Nashangaa sana mtoto wa kiume analialia kisa mapenzi daah kwa mimi huwa inachukua mpaka miezi kuwazia kuwa sijafanya Ngono muda mrefu

Alafu wewe ndiyo inabidi utafutwe na mwanamke

Kwani nyinyi mnaishi dunia Gani ndugu
 
Nashangaa sana mtoto wa kiume analialia kisa mapenzi daah kwa mimi huwa inachukua mpaka miezi kuwazia kuwa sijafanya Ngono muda mrefu

Alafu wewe ndiyo inabidi utafutwe na mwanamke

Kwani nyinyi mnaishi dunia Gani ndugu
Sasa hii ya kusubiri utafutwe na mwanamke ndio tabia yangu ila sasa kwa aina ya wanawake hawa kama nlivoandika utasubiri sana ndege feri
 
Back
Top Bottom