Singasinga
JF-Expert Member
- Aug 27, 2011
- 2,742
- 3,319
- Thread starter
- #101
Mara ya mwisho zimenitoka ten ten mbili najifanya eti utanunua bundle hiyoHahahahah wanazingua sana hawa watu! Anakulainisha kwa simu af mbunye hatoi unakuwa unampa hela wewe tu.
Afu ye ananichora tu ukimpanga anakwambia ntakujulisha afu kimya