Nimeamua nijipende mwenyewe

Nimeamua nijipende mwenyewe

Habari wakuu

Ni wazi kwa sasa kupata furaha ya kudumu kupitia mahusiano ya kimapenzi imekua ngumu hasa ukiwa mwananchi wa kawaida.

Angalau wenye nazo huwa wanapendwa hata kama ni kinafki na walionao kwenye mahusiano.

Baada ya kuligundua hilo binafsi nimeamua kuyapa mapenzi kisogo na kidogo nnachokipata nitatunza na kingine nitajijali kwa kupendeza na kula vizuri mara moja moja.

Nyege zikinifika kichwani ntapiga nyeto hata kimoja kwa wiki sidhani kama ni mbaya.

Ila mahusiano kwa sasa ni magumu maana wanawake wanaangalia wanafaidika nini kwako kiuchumi ndio wakuchagulie aina ya kifurushi cha upendo cha kukupa[emoji4]
Atakupenda mwanzoni mwa uhusiano kabla hajakujua ila akishaona hapati alichotarajia(kiuchumi) hakuna rangi utaacha kuona hata kama unazama chumvini.


WANAUME TUTAFUTE PESA.

Kibao cha kusindikiza thread
😛apa Wemba-Yolele
Hahahahahahahaha...umeachwa mkuu pamoja na kuzama mferejini[emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23]
 
.
IMG_20211201_141042.jpg
 
Habari wakuu

Ni wazi kwa sasa kupata furaha ya kudumu kupitia mahusiano ya kimapenzi imekua ngumu hasa ukiwa mwananchi wa kawaida.

Angalau wenye nazo huwa wanapendwa hata kama ni kinafki na walionao kwenye mahusiano.

Tatizo lako unapenda kuweka kambi sehemu moja,ili usiteseke piga mara tano mfululizo ndani ya wiki unapiga chini unaangalia kazi nyingine
 
Back
Top Bottom