Horseshoe Arch
JF-Expert Member
- Aug 10, 2009
- 13,402
- 12,787
Mimi ni mpendwa nimekatazwa kuwaza dhambi!Najua Mkuu,lakini kumpokea alie juu,nafikiri mademu ndio hutupokea sisi kwa juu,sasa mimi mwanaume uniambie nimpokee alie juu daah hiyo ni balaa.Vipi wewe uliwahi kumpokea alie juu?
Eeeh, msongo mbaya sana.
baada y kufeli form 4 alikupa nini??Habari zenu wana jamvi,
Leo nimeamua kuvunja ukimya, nasema ukweli jamani ndugu zangu YESU ni mtamu, acheni nilewe huyu YESU mie. Yeye ni jana leo na hata mileleeee mwanzo na mwisho.
Hakuna kama yeye chini ya jua na kwingine kokote. Ni huyu Yesu aliyenipa elimu baada ya kufeli kwa mara ya kwanza form 4 na kukata tamaa kabisa, ni huyu Yesu, alinionesha njia hadi leo nina CV ya ukweli.
Ni yeye huyu aliyenipa kazi kwa muda mfupi tu baada ya kuhitimu masomo bila ujanja wowote ila kwa MAOMBI tu, ni yeye huyu aliyesimama na mimi pale kazini kupingana nao wale wote walionionyesha chuki na kunitengenezea mazingira ya mimi kufukuzwa kutokana na wivu wa elimu,.
Ni huyu YESU aliyempigania baba yangu kwa miaka 17 sasa akipita katik ajaribu lile.Ni huyu aliyenipa uzima hadi sasa naishi. Any way natamani na wewe umjue huyu MWANAUME ambaye;-
1. Sio msaliti
2. Mwaminifu 100%
3. Rafiki wa kweli nyakati zote
4. Mtimiza ahadi
5. Aliyeyashika maisha yako mkononi mwake
6. nk;
Jamani ndugu zangu tumwamini Yesu, dunia imeshatuchoka na hivyo inataka kututema tu, sasa sijui itakutema wapi, ni wakati wetu vijana tuamke na KUMPOKEA YESU AWE BWANA NA MWOKOZI WETU. AMEEN.
GOD BE WITH YOU
Vipi Mkuu wewe ni KE au me?,ukiwa KE nitakupa jibu muruwa na mujarabu.Mimi ni mpendwa nimekatazwa kuwaza dhambi!
mkaribishe kwanza wew...si wote wapendwa wana yesu wa kweli....mtamfute yesu kwa bidii sana nawe utamuona kwenye maisha yakoMimi ni mkristo pia sikuulizi kwa nia mbaya.
Wewe unasema Yesu amefanya baada ya kuhitimu umepata kazi, Sasa kwahiyo watu ambao wanamwamini kama wewe(wengi ninaowafaham) wamehitimu na hametafuta kazi kama wewe hawajapata, kwahiyo je, wao ndo vipi? au huyo Yesu mbaguzi kakusaidia wewe upate kazi halafu wao hawana kazi kawaacha?
Na kingine umepata kazi kama unavyosema ikitokea umefutwa kazi utasema Yesu amekusababisha ufutwe au kitu gani(kwasabu si unasema yesu ndo kakufanya upate kazi?)??
Naomba unifafanulie hapo nikuelewe vizuri kabisa.!
Naomba kujifunza zaidi kutoka kwako ValentinaMimi nimeshamfungulia moyo,yeye ndie jemedari wangu.
Nikienda kukoga badaye nitajikagua mkuu nikupe jibu...unajua tena hivi viungo vya uzazi sikuwahi kuvikagua kwa kuwa sikuwa na matumizi navyo period!Vipi Mkuu wewe ni KE au me?,ukiwa KE nitakupa jibu muruwa na mujarabu.
Mimi ni mkristo pia sikuulizi kwa nia mbaya.
Wewe unasema Yesu amefanya baada ya kuhitimu umepata kazi, Sasa kwahiyo watu ambao wanamwamini kama wewe(wengi ninaowafaham) wamehitimu na hametafuta kazi kama wewe hawajapata, kwahiyo je, wao ndo vipi? au huyo Yesu mbaguzi kakusaidia wewe upate kazi halafu wao hawana kazi kawaacha?
Na kingine umepata kazi kama unavyosema ikitokea umefutwa kazi utasema Yesu amekusababisha ufutwe au kitu gani(kwasabu si unasema yesu ndo kakufanya upate kazi?)??
Naomba unifafanulie hapo nikuelewe vizuri kabisa.!
Thanks you said the truth.be blessedHabari zenu wana jamvi,
Leo nimeamua kuvunja ukimya, nasema ukweli jamani ndugu zangu YESU ni mtamu, acheni nilewe huyu YESU mie. Yeye ni jana leo na hata mileleeee mwanzo na mwisho.
Hakuna kama yeye chini ya jua na kwingine kokote. Ni huyu Yesu aliyenipa elimu baada ya kufeli kwa mara ya kwanza form 4 na kukata tamaa kabisa, ni huyu Yesu, alinionesha njia hadi leo nina CV ya ukweli.
Ni yeye huyu aliyenipa kazi kwa muda mfupi tu baada ya kuhitimu masomo bila ujanja wowote ila kwa MAOMBI tu, ni yeye huyu aliyesimama na mimi pale kazini kupingana nao wale wote walionionyesha chuki na kunitengenezea mazingira ya mimi kufukuzwa kutokana na wivu wa elimu,.
Ni huyu YESU aliyempigania baba yangu kwa miaka 17 sasa akipita katik ajaribu lile.Ni huyu aliyenipa uzima hadi sasa naishi. Any way natamani na wewe umjue huyu MWANAUME ambaye;-
1. Sio msaliti
2. Mwaminifu 100%
3. Rafiki wa kweli nyakati zote
4. Mtimiza ahadi
5. Aliyeyashika maisha yako mkononi mwake
6. nk;
Jamani ndugu zangu tumwamini Yesu, dunia imeshatuchoka na hivyo inataka kututema tu, sasa sijui itakutema wapi, ni wakati wetu vijana tuamke na KUMPOKEA YESU AWE BWANA NA MWOKOZI WETU. AMEEN.
GOD BE WITH YOU
AminaHabari zenu wana jamvi,

Amina mungu akubariki mkuuMimi ni mpendwa nimekatazwa kuwaza dhambi!
Basi sawa.Nikienda kukoga badaye nitajikagua mkuu nikupe jibu...unajua tena hivi viungo vya uzazi sikuwahi kuvikagua kwa kuwa sikuwa na matumizi navyo period!
Vibanda umiza ndio vipi hivo? Kubet au wahaya? Au nimekosea hata kuotea?Uwongo dhambi kuna umri ambao kama miundombinu yako kimaisha na commitment bado iko complicated ukimpokea huyu mkuu utakuwa unadanganya...wako wapendwa kibao tunabanana nao kwenye vibanda umiza ila wakienda 'baibo' wanatubu!