Kwa unyenyekevu mkubwa (huku nimepiga magoti) naomba kusema neno. Hakuna ulevi mbaya kama wa kiimani, sii leo wala jana bali tangu enzi na enzi. Na wengi wenye kutoka mbele ya haraiki /hadhira na kujisifu juu yao na kujikweza kumfuata yeye alie juu watu hawa huitumia halihiyo kama kichaka cha maovu. Yesu wa nazareth alipokuja duniani watu wa kwanza kukosana nao walikuwa ni "mafarisayo & masadukayo". Hawa aliwafananisha na makaburi yenye kung'aa nje huku ndani yakificha "uozo".
Mkuu umewaza km Mimi, utakuta mtu kafanikiwa jambo fulani ambolo wengi hulitamani, basi anaongea as if wale ambao hawajapata km vile wamepotea, hawaombi, ni wadhambi nk...Binafsi naona km umefanikiwa basi waombee na wenzio wafanikiwe, si kujisifu tu kuwa wewe pekee ndo ulistahili kusikilizwa ktk sala zako
Nimekununia
Nimepata Girlfriend mpya juzi hapa, sina hata miezi mitatu naye, kuna mtu mmoja aliniacha njia panda mwaka jana mwanzoni so huyu nisingependa anipite tena, kwa hiyo basi pamoja na mambo mengine ukisali nikumbuke katika yafuatayo....
Mwambie Mungu kupitia Mwanae Yesu Kristo kuwa Horseshoe Arch amehangaika sana kumpata mwenza wa maisha na Tazama baba kampata Makei wake,Mwambie baba tafadhali usimwambie Horseshoe Arch kwamba chaguo lake si sahihi na badala yake washape kwa pamoja ili waweze kuendana,hili likikamilika hakika utukufu wa Bwana utaonekana na Tazama kwa paomoja tutakuwa mstari wa mbele kumtukuza!
acha uboya dogo unapishana na gari ya pesa afu unainunia......nimekumiss sana
I will pray for you all
Mkuu umewaza km Mimi, utakuta mtu kafanikiwa jambo fulani ambolo wengi hulitamani, basi anaongea as if wale ambao hawajapata km vile wamepotea, hawaombi, ni wadhambi nk...Binafsi naona km umefanikiwa basi waombee na wenzio wafanikiwe, si kujisifu tu kuwa wewe pekee ndo ulistahili kusikilizwa ktk sala zako
Yesu ni mweza yoooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooote........amini ufanikiwe.....nisiapo jina la YESU.....natoka na machozi ya furaha.....nakumbuka mambo mengi magumu ambayo nimepitia mpaka leo nikawa mimi ambaye nipo nimepata kila kitu ambacho nimemuomba... nakupenda YESU.....
Horseshoe umenifurahisha, nitakuwa Mkiti wa kamati yako ya harusi usinisahau plz
Eeeh, msongo mbaya sana.