Nimeamua kutokuwa na mahusiano rasmi kutokana na hali ilivyo

Nimeamua tu kuwa Playboy kutokana na hali ilivyo

Nimeamua tu nipite nao tu maisha yaendelee

Wakuu hakuna kitu inauma kama kuivenst nguvu na kumpenda tu halaf mwisho unagundua alikua hakupendi na ulikua unamgharamia sana, unakua loyal kwake, yaani unakua hata weak juu ya penzi lake but yeye anapretend tu kukupenda

Kupenda mwisho 2020 kudadeki sahivi napita nao tu wala sina huruma wala muda wa kumpenda kiumbe yoyote tu yule eat na run ndo maisha yangu

Kwa mambo kama hayo ya mapenzi nimeamua tu kuwa playboy maana sikuhizi mapenzi ya dhati hakuna
"Afya yako, maisha yako"
 
Maisha haya...unaumizwa na mwanamke.mwinginee...alafu ..unaweka Nia ya kuumiza wanawake ambao hawahusiki na maumivu yako..ila kosa Lau Ni kufanana TU jinsia na aleikuumiza
 
Sisi ambao tunafurahia maisha ya ulimwengu wa mapenzi tuta comment wapi ?mkuu fanya kuwazalisha haujajutia
 
Nimeamua tu kuwa Playboy kutokana na hali ilivyo

Nimeamua tu nipite nao tu maisha yaendelee

Wakuu hakuna kitu inauma kama kuivenst nguvu na kumpenda tu halaf mwisho unagundua alikua hakupendi na ulikua unamgharamia sana, unakua loyal kwake, yaani unakua hata weak juu ya penzi lake but yeye anapretend tu kukupenda

Kupenda mwisho 2020 kudadeki sahivi napita nao tu wala sina huruma wala muda wa kumpenda kiumbe yoyote tu yule eat na run ndo maisha yangu

Kwa mambo kama hayo ya mapenzi nimeamua tu kuwa playboy maana sikuhizi mapenzi ya dhati hakuna
doh! watu wa style hii wanaishiaga pabaya sana..yani ni majuto kwa kwenda mbele, fikiria mara mbili kuna ukimwi bro.., tuliza akili sana upange maisha yako..,
 
ma playboy walifaidi zamani, saizi kwa uchi huu wa kati unaenda kuingiliwa mara ya pili mzee baba...
umeingiliwa kupenda usipopendwa unaenda kuingiliwa tena hela zako kwa kuwahonga...
mwisho wa siku unajiumiza mwenyewe tu
 
Usishindane na mashimo,yasiojaa.
Kama vipi,kula sepa kimya kimya,iko hivi broo,hakuna mwanamke anaempenda mwanaume,wewe ulichelewa kujua.
Wanawake wanaangalia maslahi tu.
 
Nimeamua tu kuwa Playboy kutokana na hali ilivyo

Nimeamua tu nipite nao tu maisha yaendelee

Wakuu hakuna kitu inauma kama kuivenst nguvu na kumpenda tu halaf mwisho unagundua alikua hakupendi na ulikua unamgharamia sana, unakua loyal kwake, yaani unakua hata weak juu ya penzi lake but yeye anapretend tu kukupenda

Kupenda mwisho 2020 kudadeki sahivi napita nao tu wala sina huruma wala muda wa kumpenda kiumbe yoyote tu yule eat na run ndo maisha yangu

Kwa mambo kama hayo ya mapenzi nimeamua tu kuwa playboy maana sikuhizi mapenzi ya dhati hakuna
Ila kumbuka Kuna STD's na baba lao moto usipoa
 
Back
Top Bottom