Nimeamua kutokuwa na mahusiano rasmi kutokana na hali ilivyo

Kua playboy sio suruhisho la changamoto. Ningekushauri uzame kwenye Dini,huko M/Mungu atakupa mke unaesathili
 
wagonge na ndom, then ukikojoa vua ndom, mwaga ndani

uta-generate singo mazas mpaka uchoke wewe
 
Nimeamua tu kuwa Playboy kutokana na hali ilivyo

Nimeamua tu nipite nao tu maisha yaendelee

Wakuu hakuna kitu inauma kama kuivenst nguvu na kumpenda tu halaf mwisho unagundua alikua hakupendi na ulikua unamgharamia sana, unakua loyal kwake, yaani unakua hata weak juu ya penzi lake but yeye anapretend tu kukupenda

Kupenda mwisho 2020 kudadeki sahivi napita nao tu wala sina huruma wala muda wa kumpenda kiumbe yoyote tu yule eat na run ndo maisha yangu

Kwa mambo kama hayo ya mapenzi nimeamua tu kuwa playboy maana sikuhizi mapenzi ya dhati hakuna
Pole sanaaa mkuu kwa masaibu yalokukuta ndo ukubwa
 
Relax! Kisha Husle!

Kisha utagundua Relationships Reduces Efficiency!

Mafanikio mengi ya kimwili na kifikra huja ukiwa single.

Mke/Mpenzi ni wa ziada!
 
Hasira za mtu mwingine uwaletee wengine unaona ni fair?! Basi amua tu kukaa na dudu lako mwenyewe huko usilitumie popote.

Watu wastaarabu bado wapo aliyekutenda ni huyo mmoja na si wote🤔
Katika hizi karma ni kungumu sana kupata mwanamke asiye na aibu.
 
Relax! Kisha Husle!

Kisha utagundua Relationships Reduces Efficiency!

Mafanikio mengi ya kimwili na kifikra huja ukiwa single.

Mke/Mpenzi ni wa ziada!
Daaah! Haya ni madini tosha kabisa.
 
huyo ataacha siku mbili tu...atapigwa shot kadi ya njano moja,,,,ujipumzisha na azuma...ya pili utaogopa usipoogopa unakula na nyekundu kabisa uanze kujuta....**** zimeoza mtaani
 
Back
Top Bottom