Nimeamua kutoa sadaka elimu yangu

Bodi ya mikopo kukata 15 %huku ikiona nina mkopo Nmb na take home yangu ni 180000 ni dhahiri kuwa huu ni mpango wa Mungu na amejua mja wake nitaishi vipi hapa mjini,,,,,,,, barikiwa Sana mkuu wa kitengo
Mmmmhhhn kwa nijuavyo sadaka njema haitolewagi kwa staili hii. Labda we mwenzetu ni "Kaini."
 
Hahaha duuh si yakucheka ila imenibid nicheke kwanza pole mkuu sote ni waathirika wa hii hali iliopo sasa nchin mmh sjui itakuaje mbelen kwan naona kila sku matumain ya nakatika muhimu ni kuzid kuwa creative tutafika
 
Watumishi mnatakiwa kufanya jambo na kampeni maalumu hadi kwa wale wanaowazunguka huko mtaani ktk kuikataa hii madude hapo 2020.
Na hii Ni matokeo ya kutokuwa na tume huru kwani kwa ukandamizaji kama huu hawezi pita mtu pasipo tume huru.
Mungu ondoa tafrani
 
Hahaha duuh si yakucheka ila imenibid nicheke kwanza pole mkuu sote ni waathirika wa hii hali iliopo sasa nchin mmh sjui itakuaje mbelen kwan naona kila sku matumain ya nakatika muhimu ni kuzid kuwa creative tutafika
Amin mkuu
 
Kwa makato niliyonayo sasa na hela ninayobaki nayo, haki ya nani hata nikiacha kazi naweza kusurvive tu maana almost sitegemei tena mshahara.
 
Back
Top Bottom