Chagu wa Malunde
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 8,744
- 5,771
Hii propaganda ilibuma na zitto junior na kaka yake walipata aibu kubwa sana. Maana PAC walitoa majibu kuwa hakuna pesa iliyopotea.Hata mimi nitajiunga CCM iwapo watatolewa mafichoni walioiba hii trilioni 1.5 ambayo alisema CAG haipo kwenye mahesabu matumizi ingawaje.
View attachment 1608641
Wala usijali.Niliamua kujiunga na Nccr Mageuzi
Sio kweli bro,acha uzushi.Wala usijali.
NCCR na CCM ni Kama kutoa hell mfuko wa upande wa kulia na kuziweka kushoto.
Ulikua chama kile kile, Sema mkondo B.
Litakapokuja hili jibu pamoja na hesabu za manunuzi ya ndege basi nami nitakufuata hukohuko CCMHii propaganda ilibuma na zitto junior na kaka yake walipata aibu kubwa sana. Maana PAC walitoa majibu kuwa hakuna pesa iliyopotea.
Fuatilia mambo mkuu,hakuna ufisadi wa tril 1.5 wala ubadhirifu wa ununuzi wa ndege.Litakapokuja hili jibu pamoja na hesabu za manunuzi ya ndege basi nami nitakufuata hukohuko CCM
Ccm huwa inajitathimini ikifanya makosa, na huwa inajirekebisha,ndio maana wamiliki wa Iptl wapo lupango kwa kufanya ufisadi.Hizo hela zilizokuwa zinapigwa kifisadi na hao Agreco na Richmond zilikua zikipigwa na Serikali ya NCCR Mageuzi au ni ya CCM hiyo hiyo?
Unafiki siyo kitu kizuri. Hakuna mtu wa kukupangia kujiunga au kuwa mfuasi wa chama chochote kile. Ika siyo haki kukihusisha chama kingine na makosa ya chama kingine, ili tu kufanikisha matakwa yako.
Nini kwani?We jamaa una nini?
Unahamahama sana mzeeWe jamaa una nini?
Kule ulileft?Nini kwani?
Swali langu ni hili, je huo ufisadi ulifanywa na Serikali ipi? Ya NCCR au ya CCM? Mbona kama hakuna uhusiano kati ufisadi wa Richmond na kuhama kwako chama kutoka NCCR na kurudi CCM?Ccm huwa inajitathimini ikifanya makosa, na huwa inajirekebisha,ndio maana wamiliki wa Iptl wapo lupango kwa kufanya ufisadi.
Nimerudi Ccm boss.Kule ulileft?
Jibu nimekupa mbona hunielewi?Swali langu ni hili, je huo ufisadi ulifanywa na Serikali ipi? Ya NCCR au ya CCM? Mbona kama hakuna uhusiano kati ufisadi wa Richmond na kuhama kwako chama kutoka NCCR na kurudi CCM?
Naomba tuheshimiane boss.Sema naendelea kuwa CCM