missyrose
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 3,014
- 7,337
Nawaonea huruma watoto wake tu
Na make wake pia..ukute anajiwazia mume yuko wapi usingizi hauji.
Nawaonea huruma watoto wake tu
Na make wake pia..ukute anajiwazia mume yuko wapi usingizi hauji.
friends nilikuwa nimeomba tenda flan mkoani na nilitegemea nitapata but sikupata.ila Nina make na watoto watatu nimerudi nyumbani chumba Niko rafu watoto rafu make wangu naye
ananiona nimekasirika haulizi Nina nini huku hajui yaliyonikuta huko mkoani naye kanuna na kaamua kulala mi kichwa kinazunguka sioni wa kunipa MOYO so nikaamua kuamia hapa bar naona naanza pata furaha BAADA ya hawa wadada kunipa MOYO bila kujua nimekwazwa na nini wakiwa wananiamnia hata ni maisha tu one day utapaya unachotaka nimewaona ni wa maana ZAIDI ya make wangu na nimewanunulia via wanywe na Mimi nakunywa mpaka usiku marudi home kulala tu nikikuta mnuno uleule naenda lala na baamedi tutajua asubuhi yaliyopita kwa kuw mke wangu kashindwa kuniweka sawa so sina raha hapo home bora hapa bar.heri yenu wake zenu wanajua nafasi zao.good night mtauepuka ukimwi ila siye ambaye hatubembelezwi tunabembelezwa na mabaamedi sijui
ananiona
Ndo maana habembelezwi kwa ujinga huu nani ambembeleze Mungu amtie nguvu huyu mke WA huyu kua na mume au kumvumilia mume WA dizain hii ni kipaji kitukufu kabisa
Dah! yani wewe ni bonge la nyumbu kweli
Ni kama jamaa amezoea kubembelezwa,sasa Leo kamkuta mamushka hayuko sawa ndo mana anadeka..Pengine.
Hata hivyo,baba wa watoto wa3 anaanzaje kulewa kwa jambo kama hili? Pathetic.
Halafu anajiita mme au Baba shabash!!! Anatia hasira halaf nabaki nacheka Tu anaonekana ulevi ndo starehe yake
Teh Teh..Mungu amsimamie akumbuke Leo ni siku ya Ukimwi tu.
Yani ujinunishe tu afu huyo unaemuita make yako akubembeleze, jinga kweli nuna hadi upasuke
Huyu jamaa naona anakunywa konyagi ya ukwaju.......wacha amalize akalale.........
Msamehe bure kishapendeza huyo
Hutaki offer? Kamata fursa ila ukumbuke kuna Makufuli kwa hiyo uwe na keys !
Baba swalehe
Kwa mwendo huu babu wacha ninywe maji nilale......