friends nilikuwa nimeomba tenda flan mkoani na nilitegemea nitapata but sikupata.ila Nina make na watoto watatu nimerudi nyumbani chumba Niko rafu watoto rafu make wangu naye
ananiona nimekasirika haulizi Nina nini huku hajui yaliyonikuta huko mkoani naye kanuna na kaamua kulala mi kichwa kinazunguka sioni wa kunipa MOYO so nikaamua kuamia hapa bar naona naanza pata furaha BAADA ya hawa wadada kunipa MOYO bila kujua nimekwazwa na nini wakiwa wananiamnia hata ni maisha tu one day utapaya unachotaka nimewaona ni wa maana ZAIDI ya make wangu na nimewanunulia via wanywe na Mimi nakunywa mpaka usiku marudi home kulala tu nikikuta mnuno uleule naenda lala na baamedi tutajua asubuhi yaliyopita kwa kuw mke wangu kashindwa kuniweka sawa so sina raha hapo home bora hapa bar.heri yenu wake zenu wanajua nafasi zao.good night mtauepuka ukimwi ila siye ambaye hatubembelezwi tunabembelezwa na mabaamedi sijui
ananiona