Ngoja waje wenye TAALUMA YA MIKOPO.....!Nafanya kazi sekta binafsi kwa miaka mitano sasa.
Nimejitahidi kadiri ya uwezo wangu kwani kwa miaka hiyo nimeweza kujikamua na kujenga nyumbani(finishing bado) kijijini kwetu si mnajua life tuliokulia maisha ya kuunga unga? (Maisha ya home yalikua mabaya kupindukia,hadi namaliza chuo,njaa ilikua inachakaza nyumbani hadi inatishia kutoa uhai)
Pia kwa miaka mitano hii nimeoa na kujiunga na Msc degree na chuo flani hivi kikongwe hapa nchini,nimenunua ka plot ka kuanzia maisha na kusomba materials
Sasa kwa muda huu nimejikuta mambo yanakua mengi halafu na kipato hakitoshi japo kwa mwezi na take home ni M na kitu hivi.
Nimeona isiwe shida,nimeenda bank kukopa ili nijenge na kununua mahindi ya stock ili badae niuze kuanzia mwezi wa 11 hadi 3 hivi najua bei itakua imepanda kidogo
Sasa hapa nina wasiwasi na hii hela km itamaliza ujenzi,site nilileta material almost 98% (yaani tofari,mawe,mchanga na kokoto).Hela niliyoomba ni 9M nakata 2M ziingie kununua nafaka niweke stock, 1M iingie matumizi ya kawaida (msishangae serikali yetu matumizi ya kawaida ni zaidi ya nusu ya bajeti) halafu 6M zipige ujenzi je zitatosha?
Hapa nasali na kuomba angalau hii hela itoshe
Unaishi wapi?Kopa ila uwe makin, matumiz ya kawaida usinunue wanawake,ukinunua wasikuiibieNafanya kazi sekta binafsi kwa miaka mitano sasa.
Nimejitahidi kadiri ya uwezo wangu kwani kwa miaka hiyo nimeweza kujikamua na kujenga nyumbani(finishing bado) kijijini kwetu si mnajua life tuliokulia maisha ya kuunga unga? (Maisha ya home yalikua mabaya kupindukia,hadi namaliza chuo,njaa ilikua inachakaza nyumbani hadi inatishia kutoa uhai)
Pia kwa miaka mitano hii nimeoa na kujiunga na Msc degree na chuo flani hivi kikongwe hapa nchini,nimenunua ka plot ka kuanzia maisha na kusomba materials
Sasa kwa muda huu nimejikuta mambo yanakua mengi halafu na kipato hakitoshi japo kwa mwezi na take home ni M na kitu hivi.
Nimeona isiwe shida,nimeenda bank kukopa ili nijenge na kununua mahindi ya stock ili badae niuze kuanzia mwezi wa 11 hadi 3 hivi najua bei itakua imepanda kidogo
Sasa hapa nina wasiwasi na hii hela km itamaliza ujenzi,site nilileta material almost 98% (yaani tofari,mawe,mchanga na kokoto).Hela niliyoomba ni 9M nakata 2M ziingie kununua nafaka niweke stock, 1M iingie matumizi ya kawaida (msishangae serikali yetu matumizi ya kawaida ni zaidi ya nusu ya bajeti) halafu 6M zipige ujenzi je zitatosha?
Hapa nasali na kuomba angalau hii hela itoshe
Ramani yako ina ukubwa gani?Nafanya kazi sekta binafsi kwa miaka mitano sasa.

Mshahara wa 1M+ unakopaje 9m? Au sio maximum, umeamua tu?Nafanya kazi sekta binafsi kwa miaka mitano sasa.

HahahHa, itakua siyo maximum , sisi wengine tumeshindwa kuchukua mkopo kabisa kwa rate hiyo ya salary,Mshahara wa 1M+ unakopaje 9m? Au sio maximum, umeamua tu?
Si ndo maana nimeshangaa mzee, hivi nowdays kmapuni Binafsi zinadhamini wafanyakazi wake bank?HahahHa, itakua siyo maximum , sisi wengine tumeshindwa kuchukua mkopo kabisa kwa rate hiyo ya salary,
Mtaani kwetu kuna nyumba 5 zimepigwa mnada huku naona ,
Nyumba yangu mdogo mdogo nitamalizia kwa salary hii hii 1+
Kwetu sisi hawaruhusu , ukitaka kopa hapa hapa lakini mkopo unapaswa kurejesha within 6 months, Mimi bado finishing tuu napambana na salary yanguSi ndo maana nimeshangaa mzee, hivi nowdays kmapuni Binafsi zinadhamini wafanyakazi wake bank?
Mkuu sio kweli mikopo inasaidia na inakutoa sehemu ulipo kama utakua na nidhamu na hiyo pesa...tena kufanya biashara za nje risk yake ni kuibiwa huko nje ukifikisha mzigo wewe ni kuuza tuu...kwa hiyo unatakiwa unapokua huko jitahidi kufanya tathmini sahihi za nini ufanye kuliko kuamini hela zitapotea kwa kusikia kwa watu...Pole sana nyumba hiyo wanakuja kuichukua kama walileta wao tofari mkuu. Hii ni uzoefu niliuona kipindi nimekuja home yaani hakuna biashara na mbaya zaidi hauzalishi hiyo pesa isipokuwa kwenda kumalizia nyumba!