Nimeamua kujiunga na CHADEMA

Nimeamua kujiunga na CHADEMA

Karibu!!!Hii nchi hujengwa na wenye moyo na wazalendo
 
Jamani nawashukuruni nyote mlionikaribisha chamani(CHADEMA) kwa maneno mazuri na hamasa mliyonipa,kwa kuwa nimeamua mwenyewe bila shinikizo la kutoka upande wowote basi nipo tayari hata kwa cha changamoto zitakazojitokeza.Na wenzetu wa upande wa pili mlio kinyume na CHADEMA nawapongeza kwa maneno yenu maana hilo pia linadhihirisha utu wenu na jinsi mlivyo. Nakupenda CHADEMA!
 
Back
Top Bottom