Nimeamua kujiunga na CHADEMA

Nimeamua kujiunga na CHADEMA

mimi wa mwanza nipo chadema toka tulipo lishwa karanga na coca cola pale kwenye kampeni za biondo .mwaka 2005 ilinifumbua na kuacha kwenda kupiga kwata eti scout. wa chama Da!kweli tulikuwa mazuzu. nakumbuka mwaka 2009 alikuja mbowe hapo ndo nikajipa moyo nilazima kabla ajaondoka nitashikana mkono naye. ndiyo nilifanikiwa kumshika gwanda lake nilifurahi sana. nawaombea mema wote makamanda wa mwanza na tanzania nzima na wale wa nje ya Tanzania mungu hawape nguvu.
 
Lakini sifa ya kuwa kiongozi wa chadema uwe unavuta bangi na viroba kwa sana hope utakuwa mdau wa hizo ishu.
 
umekabidhi akili zako mwenyekiti? huko hawatakiwa watu wenye mawazo mbadala. yanatakiwa mazezeta tu. hongera kwa kuwa zezeta.

Kwa kipindi kirefu nimekuwa nikifatilia siasa bila kuwa mwanachama wa chama chochote cha siasa lakini kwa sasa nafsi yangu imeridhia kabisa kujiunga na CHADEMA kwa ukombozi wa taifa langu. Nipo tayari kuheshimu,kutetea,kulinda na kufata taratibu za chama kwa maslahi ya Nchi yangu. WanaCHADEMA naomba mnipokee! Peopleeeeeeeeeeeeeeeezzzzzzz!!!!
 
Khaa!! Mbona hujatoa sababu ya maana?? Umelinganisha vipi na vyama vingine?? Kumbe bado sana wewe :cool2:
 
Kwa kipindi kirefu nimekuwa nikifatilia siasa bila kuwa mwanachama wa chama chochote cha siasa lakini kwa sasa nafsi yangu imeridhia kabisa kujiunga na CHADEMA kwa ukombozi wa taifa langu. Nipo tayari kuheshimu,kutetea,kulinda na kufata taratibu za chama kwa maslahi ya Nchi yangu. WanaCHADEMA naomba mnipokee! Peopleeeeeeeeeeeeeeeezzzzzzz!!!!

We kabila gani?
 
mimi wa mwanza nipo chadema toka tulipo lishwa karanga na coca cola pale kwenye kampeni za biondo .mwaka 2005 ilinifumbua na kuacha kwenda kupiga kwata eti scout. wa chama Da!kweli tulikuwa mazuzu. nakumbuka mwaka 2009 alikuja mbowe hapo ndo nikajipa moyo nilazima kabla ajaondoka nitashikana mkono naye. ndiyo nilifanikiwa kumshika gwanda lake nilifurahi sana. nawaombea mema wote makamanda wa mwanza na tanzania nzima na wale wa nje ya Tanzania mungu hawape nguvu.

Umefaidika nini hadi sasa tangu ushike gwanda la Disco jocker?
 
CHADEMA ni chama makini - Chama chenye demokrasia ya kweli ndani yake, chama kinachotetea walala hoi, Chama kinachopigania uhuru wa watanganyika ulio kamili ili wananchi wake wafaidi matunda yake, Chama kinachopigania raslimali za nchi zisiporwe na wajanja wachache, Chama kisichoamini u-matonya, Chama kinachotetea wafanyakazi hasa waalimu na wauguzi wanaofanya kazi kubwa bila mchango wao kutamulika kitaifa, Chama kinachomtetea wafugaji na wakulima hasa wale wadogo wadogo, Chama kinachoamini haki na usawa kwa watanzania wote.

Kama mtu una akili timamu na huna maslahi binafsi nyuma yako, na una uchungu wa kuikomboa Tanzania kutoka kwenye makucha ya mafisadi basi ni lazima utakitafuta tu ujiunge nacho.

Chadema ndicho chama pekee chenye dhamira ya dhati ya kumkomboa mtanganyika dhidi ya mkoloni mweusi.KARIBU SANA KAMANDA KATIKA CHAMA CHA WAZALENDO WA KWELI
 
Back
Top Bottom