Kwa kipindi kirefu nimekuwa nikifatilia siasa bila kuwa mwanachama wa chama chochote cha siasa lakini kwa sasa nafsi yangu imeridhia kabisa kujiunga na CHADEMA kwa ukombozi wa taifa langu. Nipo tayari kuheshimu,kutetea,kulinda na kufata taratibu za chama kwa maslahi ya Nchi yangu. WanaCHADEMA naomba mnipokee! Peopleeeeeeeeeeeeeeeezzzzzzz!!!!