msumbufu
Member
- Apr 21, 2011
- 9
- 1
sidhani kama hawa jamaa yaani watawala hasa kwa huku bara wanania ya kuliendeleza taifa, maana ni kulumbana tuu na kutafuta kujisafii tuu huku tuumiao ni sisi wadogo huku chini. Kaka TUMAINI LETU wewe elekea au njoo popote pale ila uwe na lengo la kuendeleza nchi yako na si kwenda huko kulijaza tumbo tuu, kumbuka BENKI YA MJINGA NI TUMBO.