sellonlatbox
Member
- Jul 10, 2012
- 57
- 18
Mkuu, kwenye control ya umri unaweza kuiweka hivi.
if age >=18:
print "Umri sahihi"
print age
print "Karibu ndugu %s, \numri wako ni miaka %s. \nEndelea na maelekezo yanayofuata. " %(name, age)
choice=int(raw_input("Kumuona daktari bingwa andika 1, \nKumuona dakatari wa kawaida andika 2 \n(1 au 2?)"))
if choice ==1:
print "gharama za daktari bingwa ni Tsh ....."
else:
print "gharama za daktari wa kawaida ni ....."
else:
print "Samahani, huduma hii ni kwa wenye umri zaidi ya miaka 18:"
Maelezo:
1. Tuanzie hapa, else block inakuwa executed kama if block ni false. Hivyo true statements zote tuziweke kwenye if block, hivyo ikiwa umri ni sawa au zaidi ya 18 mteja apewe maelezo yote yanayotakiwa, ila kama umri utakuwa chini ya miaka 18 basi mteja aambiwe samahani.
2. \n ni kwa ajili ya new line.