Nimeamua kujifunza Python programming

Ata mimi naendelea kusoma python na kwasasa nimefika kwenye Object-oriented programming(OOP) naombeni msaada niweze kuelewa jinsi Class inavyofanya kazi?
 
Umeelewa hiyo code hapo juu ? Mimi natumia website ya codecademy tu !
Hivyo viprogram vidogodogo havitakusaidia kuelewa python. Soma language basics vizuri kwa mfano python data structures, functions, classes, decorators. Baada ya hapo, tafuta any python microframework for web development, mimi wakati huo nilichagua webpy, hata wewe unaweza kuichagua, kwasababu it's so Pythonic, no magic kuanzia model, views na controller creation. Utaona Python in action live/mubashara!
 
Python one of the best language so far kijana Mimi hii lugha na Kama miaka 10 naitumia na inazidi kukua last week imekwea namba moja kwenye ranking ya lugha maarafu kwa Sasa. Kama wewe ni mpenzi wa Data analysis basi hiI lugha itakufaa sana.
 
Hujanielewa labda....hizo basics nazisoma kwa hatua ila kila kipengele ninachomaliza najaribu kufanya mazoezi katika real life ili kuelewa vizuri. Maana ningeanzaje kufanya hivyo kama sijasoma basics... Ni utaratibu wangu wa kujifunza
 
Pamoja sana kiongozi ! Tunajifunza kwa hatua
 
Python one of the best language so far kijana Mimi hii lugha na Kama miaka 10 naitumia na inazidi kukua last week imekwea namba moja kwenye ranking ya lugha maarafu kwa Sasa. Kama wewe ni mpenzi wa Data analysis basi hiI lugha itakufaa sana.
Mimi nimpenza wa Artificial Intelligence
 
Hujanielewa labda....hizo basics nazisoma kwa hatua ila kila kipengele ninachomaliza najaribu kufanya mazoezi katika real life ili kuelewa vizuri. Maana ningeanzaje kufanya hivyo kama sijasoma basics... Ni utaratibu wangu wa kujifunza
Unapatikana wapi mkuu?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom