Nimeamua kuhamia CCM kuendeleza mapambano dhidi ya Ufisadi

Benson Mramba

JF-Expert Member
Oct 29, 2013
644
1,482
Mimi Benson Mramba leo tarehe 15 Sept 2018 katika viwanja vya Kampala Gongo la Mboto jimbo la Ukonga katika ufungaji wa kampeni wa Ndugu Mwita Waitara nimeamua kutangaza rasmi kujiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM) kama jukwaa langu jipya kisiasa.

Nimeamua kujiunga CCM ili kuendeleza mapambano dhidi ya Ufisadi na kuamini katika Nguvu ya Umma ambao Rais Magufuli anausikiliza na kuujali kwa sasa.

Wasifu

2005-2007 Kijana wa kujitolea katika kurugenzi ya vijana na mambo ya nje.

2007- 2009- Katibu Chadema kata ya kibamba

2009-2013 Katibu Chadema mkoa wa Tanga

2011-2014 Afisa Makao Makuu anayesimamia Tehama

2014-2016 Afisa Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Chadema Makao Makuu.

July 2017- Sept 2018 Mwanachama Mfu wa CHADEMA

Sept 2018- Mwanachama wa CCM

Hapa Kazi Tu.
 
Hiyo ni haki yako, na hakuna mwenye akili timamu atakayeweza kukubeza, atakaue kubeza na dhalimu na ataangmizwa na dhambi zake. Tumakuombea kila la kheri
 
Yaani uzaliwe halafu utake kula kondo la nyuma la mzazi (placenta) wako?

Rushwa ndio imefanya leo umepata jukwaa la kuyasema hayo kwenye kampeni, maana hatukusikia mchakato wa kura ya maoni ya kumpitisha bosi wako kuwa mgombea...anyway, safari njema. Pengine utatusaidia kujua taratibu mpya za manunuzi ya umma zinavyominya mianya ya rushwa
 
Kama kweli una nia ya kupambana na ufisadi na sio kupigania tumbo lako kaanze na huu ufisadi...
tapatalk_1507400721305.jpeg
 
Mimi Benson Mramba leo tarehe 15 Sept 2018 katika viwanja vya Kampala Gongo la Mboto jimbo la Ukonga katika ufungaji wa kampeni wa Ndugu Mwita Waitara nimeamua kutangaza rasmi kujiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM) kama jukwaa langu jipya kisiasa.

Nimeamua kujiunga CCM ili kuendeleza mapambano dhidi ya Ufisadi na kuamini katika Nguvu ya Umma ambao Rais Magufuli anausikiliza na kuujali kwa sasa.

Wasifu

2005-2007 Kijana wa kujitolea katika kurugenzi ya vijana na mambo ya nje.

2007- 2009- Katibu Chadema kata ya kibamba

2009-2013 Katibu Chadema mkoa wa Tanga

2011-2014 Afisa Makao Makuu anayesimamia Tehama

2014-2016 Afisa Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Chadema Makao Makuu.

July 2017- Sept 2018 Mwanachama Mfu wa CHADEMA

Sept 2018- Mwanachama wa CCM

Hapa Kazi Tu.
Ulivyokosa vyeo tu CDM ukawa mwanachama mfu
 
Back
Top Bottom