He story inasikitisha ,,pole sana.jamani mapenz ingekuwa yanahukumiwa basi siku.zote yangebeba lawama ya.guilt ,, ,, yaan kesi kama hizo zipo sana stahamili m.mungu hamtupi mja wake ,, utapata atakae futa chozi lako
lakini si uliambulia ambulia kidogo.... inatosha, waachie wengine
Yalikuwa mapenzi ya dhati toka moyoni Mwangu na nilitamani kila mtu ajue nilizimika kwa Mtoto Sophy! Sikutaka nimuudhi kwa namna yoyote ile!
Nilipomkosea sikujivuta.. Nilimwangukia na kumuomba msamaha! Sikujali kuwa yeye ni just form four leaver ambae hata kwenye mtihani hakufanya vizuri, ckujali elimu yangu pamoja na uanaume wangu! Sikuwahi kwenda kwake mikono mitupu, Mara juice ghali, Mara chipsi, Mara nguo, kuku, voucher na vitu kibao ili ajue kuwa nilimpenda ingawa yeye hakuwahi kininunulia hata pipi!
Akikosea hakuwa mrahisi Wa kuniomba msamaha hadi nimwambie afanye hivyo kwa lazima! Sikuogopa hata kumpa mamaangu aongee nae kwenye simu!
Dahhhh! Hakujali,
Nilimwambia mwenendo Wa mahusiano yangu ya awali lakini nikimuuliza alidai sikuwa chanzo cha wao kuachanaso hainihusu!!!
Kwa kweli nilichoka, hakunipa nafasi ya kushika simu yake hadi aikague kwanza na wakati mwingine akipigiwa anaongea akimaliza anafuta call received! Alinipangia siku za kumtembelea na masaa hasa ya usiku, hakutaka nionekane na mtu yeyote majira ya mchana, nikifika kwake kuanzia mida ya saa Mbili usiku na kuondoka saa kumi na moja ya asubuhi! Kwangu hakuwahi kuja kwangu pamoja na kumsisitiza Kisa eti yuko busy na kazi( stationary)
Tukipishana Mawazo anapanda hadi anafikia maamuzi makubwa kabisa ya kununja mahusiano! Akinimbia kitu hataki nimuulize mwingine ili nijue ukweli hata ka ni rafiki yake, atadai eti kwa kuwa simuamini niachane nae ili niende kwa ninaowaamini! Nilichka nikakubaliana na maamuzi yake ya kuvunja mahusiano lakini bado no maamuzi yanaoutesa moyo wangu!! Nashindwa kabisa kumsahau coz nilimpenda sana pamoja na maasibu aliyonofanyia!
Duhhh! Nifanyeje? Ukishawahi kukutwa na Hali Kama hii? Ulifanyeje ukashinda?
Nishauri!
FB
Tukipishana Mawazo kidogo tu alipanda hadi anataka tuvunje mahusiano!
Wenzio husoma harama za nyakati na kuwahi kabla hawajawahiwa.
Huyo usipomwacha atakuacha yeye.
Wenzio husoma harama za nyakati na kuwahi kabla hawajawahiwa.
Hakuna kitu kibaya kama kuachwa ni bora uanze wewe hata kama unampenda vipi kwa sababu nakuhakikishia atakuja kuku suprise atakapokwambia it's over.
Si kila anayemwach girl/boy friend inakuwa penzi limeisha, ila kuna wanaogundua hakuna future na wamependa wasipopendwa. Maumivu yanakuwa madogo ukilinganisha na kuachwa. kwa sababu na yeye atakuwa anaugulia kivyake hiyo tu itakupa faraja.