Nimeamua kuachana na CHADEMA

Karibu CCM. Kadi yako ninayo
 
Vuta pumzi mkuu , rudi nyuma na jitafakari , kuahirisha si kuacha au kushindwa , mimi binafsi nimepata hasara ya karibu hela ya madafu 2.7 mil kwa ajili ya maandalizi .
Katika watu waongo na wanafiki humu JF ww upo kumi bora
 
Karibu sana kwenye familia mkuu.

Hawa wanasiasa ukiwaamini sana watakupanda kama ngazi.
 
Wewe na yule mtoa kwata mmefanana ma mtu ambae ameota kafa kwa hiyo ameamua kujinyonga
Dhana ya chadema ni kudikisha ujumbe siyo kuandamana.
 
Nilikuwa shabiki wa siasa bila kuunga mkono chama chochote cha siasa

Haaa haaa sasa umeamua kuniwekea maneno yako.Kwanza lazima utambue siasa ni kila kitu hata ukiamua kuikwepa utajikuta unakutano nayo kwenye kodi,elimu.......Nasema tena na tena sina chama ila naweza kuunga mkono mambo mazuri yanayoamulia/tendwa na chama chochote cha siasa.
 

Kila lakheri katika maamuzi yako ya kidemodrasia uliyoyafikia maana huu mchezo hauhijaji hasira.

 

Attachments

  • upload_2016-8-31_18-25-31.png
    19.3 KB · Views: 44
Heri yako umechukua 50 zako ila jua kua umeacha makamanda wenyewe viroba tu vinatosha
 
Wewe na yule mtoa kwata mmefanana ma mtu ambae ameota kafa kwa hiyo ameamua kujinyonga
Dhana ya chadema ni kudikisha ujumbe siyo kuandamana.

Wangesema nisingeingia hasara ya kununua Lt 5 ya mafuta mgando,nisingenunua miwani ya kukinga macho yangu na mabomu ya machozi,nisingeamua alfajiri na baridi ya Arusha kukimbia 10 km ?.Ebo wengine hatupendi utani ukisema sisi tunatenda.
 
Ngongo
Umechelewa sana kuachana na CHADEMA
Mm wlaipofanya tu MAPINDUZI ya kumtoa Dr Slaa nikashtukia chama hiki kama ni cha wapiga deal tu!
Hamna kitu hapo kwa hawa wazushi
CHADEMA imekufa
 
Nilishauona ule mwisho kabla ya mwanzo!! Ni falsafa!! Imeandaliwa! Ikasemwa!ikaeleweka! Kuna waliosubiri iwe Leo! Wengine kesho!! Hahahaaa too late!!kumbe ilishakamilika toka Jana!!
 
Kwahiyo ulitaka watu waume ama kacheze tu huo Mpira wako
 
HAHAHAAHAHAHA,CHADEMA kama Lipumba,hawajui wanataka nini?hawana muongozo,hawapimi impacts za maamuzi yao,kiukweli kuwa mfuasi wa hawa watu ni hatari. Wamewaimbisha ukuta kwa mwezi sasa,at the end wanabadili gia angani,
Hiyo gia wamebadilishia shimoni. Bora ingekuwa angani. Wamezamisha jahazi kiss kukurupuka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…