Hali ya hela haikua nzuri siku hiyo, niilpanga kwenda bank kuangalia malipo ya mshahara. Mimi na mwanangu wa miaka miwili tuliamka asubuhi nilimalizia maziwa kidogo yaliyobaki kwenye kopo kwa kuyapikia uji, nilimpa mtoto alipotosheka niliumalizia mimi uji ule.
Enzi hizo hakuna smapart phones na kama ingekuwepo nisingeimudu. Tulifika bank na kuambiwa mshahara haujatoka. Hapo nipo likizo. Plan B ilikuwa kumfahamisha mr huko alikokua hali halisi tuliyonayo.
Mtoto wakati huo alikua na njaa. Tuliingia kwenye mgahawa na kuagiza chai na maandazi mawili. Hapo ni baada ya kutoa pesa ya nauli ya kunifikisha nyumbani. Chai ilifika na kumkatia mtoto andazi. Tunaanza tu kula, kuna kijana aliagiza mtori, supu chapati na soda, wakati ule wenzake walifika kumchukua na gari. Aliagiza chakula chake apewe yule mtoto pale.
Kwakweli mwanangu alikula chai na andazi kwakua alikua na njaa lakini aliufurahia mtori mpaka mwisho.
Yule kijana alikua chuo kikuu na walikua wanakwenda field na wenzake.
Popote ulipo Mungu akubariki kijana. Mwanangu ni mhitimu wa chuo sasa hivi.
Sidhani kama hii dhana ya kusema watoto ni malaika ipo sahihi, utasema hivyo kama utakua hujui maana ya malaika! labda tuseme watoto wapo kama malaika
Huwa inatokea, ila wewe umeandaa kinywaji cha motoHali ya hela haikua nzuri siku hiyo, niilpanga kwenda bank kuangalia malipo ya mshahara. Mimi na mwanangu wa miaka miwili tuliamka asubuhi nilimalizia maziwa kidogo yaliyobaki kwenye kopo kwa kuyapikia uji, nilimpa mtoto alipotosheka niliumalizia mimi uji ule.
Enzi hizo hakuna smapart phones na kama ingekuwepo nisingeimudu. Tulifika bank na kuambiwa mshahara haujatoka. Hapo nipo likizo. Plan B ilikuwa kumfahamisha mr huko alikokua hali halisi tuliyonayo.
Mtoto wakati huo alikua na njaa. Tuliingia kwenye mgahawa na kuagiza chai na maandazi mawili. Hapo ni baada ya kutoa pesa ya nauli ya kunifikisha nyumbani. Chai ilifika na kumkatia mtoto andazi. Tunaanza tu kula, kuna kijana aliagiza mtori, supu chapati na soda, wakati ule wenzake walifika kumchukua na gari. Aliagiza chakula chake apewe yule mtoto pale.
Kwakweli mwanangu alikula chai na andazi kwakua alikua na njaa lakini aliufurahia mtori mpaka mwisho.
Yule kijana alikua chuo kikuu na walikua wanakwenda field na wenzake.
Popote ulipo Mungu akubariki kijana. Mwanangu ni mhitimu wa chuo sasa hivi.
Nakweli, halafu ukute anafahamu hadi I'd yako japo hajakuambiaSiajabu ninae humu jukwaani, inabidi kwenda kwa step usimkanyage mwenzio.
Chakula kilitoka jikoni moja kwa moja kuja kwetu hata tungepata madhara yule kijana sikumfahamuvijana wenye moyo huo wako wengi tu sema siku hizi ukimpa tu(kushare chakula na mtu) mtu chakula alaf aliyekaribishwa akapata madhara fulani basi ujue aliyekaribisha chakula anapata msara....ndio maana siku hizi watu tunakuwa wachoyo
Ikiwa mwanawe ni mhitimu wa chuo. Ina maana umri wake ni over 50 saivi. Tena uji muhogo kabisahuu utakuwa uji wa futari
Hapana huyu mama ni under 50 atakuwa na miaka 47-49Ikiwa mwanawe ni mhitimu wa chuo. Ina maana umri wake ni over 50 saivi. Tena uji muhogo kabisa
Sikuwa kufikiria kama utakua umeenda umri kiasi hiki.Hali ya hela haikua nzuri siku hiyo, niilpanga kwenda bank kuangalia malipo ya mshahara. Mimi na mwanangu wa miaka miwili tuliamka asubuhi nilimalizia maziwa kidogo yaliyobaki kwenye kopo kwa kuyapikia uji, nilimpa mtoto alipotosheka niliumalizia mimi uji ule.