Nimeamni watoto ni malaika na wanalindwa na Mungu

Sky Eclat

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Messages
34,502
Points
2,000
Sky Eclat

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined Oct 17, 2012
34,502 2,000
Hali ya hela haikua nzuri siku hiyo, niilpanga kwenda bank kuangalia malipo ya mshahara. Mimi na mwanangu wa miaka miwili tuliamka asubuhi nilimalizia maziwa kidogo yaliyobaki kwenye kopo kwa kuyapikia uji, nilimpa mtoto alipotosheka niliumalizia mimi uji ule.

Enzi hizo hakuna smapart phones na kama ingekuwepo nisingeimudu. Tulifika bank na kuambiwa mshahara haujatoka. Hapo nipo likizo. Plan B ilikuwa kumfahamisha mr huko alikokua hali halisi tuliyonayo.

Mtoto wakati huo alikua na njaa. Tuliingia kwenye mgahawa na kuagiza chai na maandazi mawili. Hapo ni baada ya kutoa pesa ya nauli ya kunifikisha nyumbani. Chai ilifika na kumkatia mtoto andazi. Tunaanza tu kula, kuna kijana aliagiza mtori, supu chapati na soda, wakati ule wenzake walifika kumchukua na gari. Aliagiza chakula chake apewe yule mtoto pale.

Kwakweli mwanangu alikula chai na andazi kwakua alikua na njaa lakini aliufurahia mtori mpaka mwisho.

Yule kijana alikua chuo kikuu na walikua wanakwenda field na wenzake.

Popote ulipo Mungu akubariki kijana. Mwanangu ni mhitimu wa chuo sasa hivi.
 
Hazchem plate

Hazchem plate

JF-Expert Member
Joined
Feb 25, 2011
Messages
6,224
Points
2,000
Hazchem plate

Hazchem plate

JF-Expert Member
Joined Feb 25, 2011
6,224 2,000
Kumbe uzazi mzuri eee
Hali ya hela haikua nzuri siku hiyo, niilpanga kwenda bank kuangalia malipo ya mshahara. Mimi na mwanangu wa miaka miwili tuliamka asubuhi nilimalizia maziwa kidogo yaliyobaki kwenye kopo kwa kuyapikia uji, nilimpa mtoto alipotosheka niliumalizia mimi uji ule.

Enzi hizo hakuna smapart phones na kama ingekuwepo nisingeimudu. Tulifika bank na kuambiwa mshahara haujatoka. Hapo nipo likizo. Plan B ilikuwa kumfahamisha mr huko alikokua hali halisi tuliyonayo.

Mtoto wakati huo alikua na njaa. Tuliingia kwenye mgahawa na kuagiza chai na maandazi mawili. Hapo ni baada ya kutoa pesa ya nauli ya kunifikisha nyumbani. Chai ilifika na kumkatia mtoto andazi. Tunaanza tu kula, kuna kijana aliagiza mtori, supu chapati na soda, wakati ule wenzake walifika kumchukua na gari. Aliagiza chakula chake apewe yule mtoto pale.

Kwakweli mwanangu alikula chai na andazi kwakua alikua na njaa lakini aliufurahia mtori mpaka mwisho.

Yule kijana alikua chuo kikuu na walikua wanakwenda field na wenzake.

Popote ulipo Mungu akubariki kijana. Mwanangu ni mhitimu wa chuo sasa hivi.
 
C

Computer mpakato

Member
Joined
Jan 18, 2019
Messages
76
Points
125
C

Computer mpakato

Member
Joined Jan 18, 2019
76 125

Huwa inatokea, ila wewe umeandaa kinywaji cha moto
 
Sky Eclat

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Messages
34,502
Points
2,000
Sky Eclat

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined Oct 17, 2012
34,502 2,000
vijana wenye moyo huo wako wengi tu sema siku hizi ukimpa tu(kushare chakula na mtu) mtu chakula alaf aliyekaribishwa akapata madhara fulani basi ujue aliyekaribisha chakula anapata msara....ndio maana siku hizi watu tunakuwa wachoyo
Chakula kilitoka jikoni moja kwa moja kuja kwetu hata tungepata madhara yule kijana sikumfahamu
 
k_dizle

k_dizle

JF-Expert Member
Joined
Jan 11, 2015
Messages
781
Points
1,000
k_dizle

k_dizle

JF-Expert Member
Joined Jan 11, 2015
781 1,000
Hali ya hela haikua nzuri siku hiyo, niilpanga kwenda bank kuangalia malipo ya mshahara. Mimi na mwanangu wa miaka miwili tuliamka asubuhi nilimalizia maziwa kidogo yaliyobaki kwenye kopo kwa kuyapikia uji, nilimpa mtoto alipotosheka niliumalizia mimi uji ule.

Enzi hizo hakuna smapart phones na kama ingekuwepo nisingeimudu. Tulifika bank na kuambiwa mshahara haujatoka. Hapo nipo likizo. Plan B ilikuwa kumfahamisha mr huko alikokua hali halisi tuliyonayo.

Mtoto wakati huo alikua na njaa. Tuliingia kwenye mgahawa na kuagiza chai na maandazi mawili. Hapo ni baada ya kutoa pesa ya nauli ya kunifikisha nyumbani. Chai ilifika na kumkatia mtoto andazi. Tunaanza tu kula, kuna kijana aliagiza mtori, supu chapati na soda, wakati ule wenzake walifika kumchukua na gari. Aliagiza chakula chake apewe yule mtoto pale.

Kwakweli mwanangu alikula chai na andazi kwakua alikua na njaa lakini aliufurahia mtori mpaka mwisho.

Yule kijana alikua chuo kikuu na walikua wanakwenda field na wenzake.

Popote ulipo Mungu akubariki kijana. Mwanangu ni mhitimu wa chuo sasa hivi.
Sikuwa kufikiria kama utakua umeenda umri kiasi hiki.
Aisee hongera
 
herzegovina

herzegovina

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2015
Messages
1,929
Points
2,000
herzegovina

herzegovina

JF-Expert Member
Joined Oct 28, 2015
1,929 2,000
Same to me...Kuna jumamosi(haikuwa mwisho wa mwezi) na Kuna ripoti nilikuwa sijatuma. Ile nataka kwenda ofisini kwa miguu kwa kuwa sikuwa na nauli (Mimi ni mwanaume was mikoani) mwanangu akagoma katakata nisimuache....nikipiga hatua ishirini namsikia huko akilia roho inauma narudi....boss naye anapiga simu balaa...nikitaka kuondoka mtoto analia..mwanagu alikuwa na kilo 16 nikaamua kumbeba kwenda naye kazini, umbali ni km 10 hivi. Kufika kazini yule mlinzi tu akampenda akasema mtoto mzuri, shika hii (akatoa buku mbili) nikapita floor ya chini, dada wa mapokezi akasema duh ndio una mtoto mzuri hivi(akampa buku mbili)..zote hizo nazidaka...tukaingia kwenye lift watu wakampenda pia...maza mmoja akampa buku ya pipi. Kufika ofisini Sasa nikamuwekea kiti, nikawa naandaa ripoti boss yupo pembeni...nikitaka peni namwambia C.... naomba hiyo peni, analeta...boss akitaka kuweka itv namwambia C.... mpe babu rimoti ile pale anampa boss basi ripoti nikaimaliza, ile namtumia boss tu, akampa Kwanza dogo 20 halaf akaniambia nipite kwa muhasibu....kwa mara ya kwanza (ndani ya miaka mitatu) boss alitoa nauli ya weekend.....I love my daughter
 
Forum statistics

Threads 1,294,190
Members 497,843
Posts 31,167,576
Top