Nimeamni watoto ni malaika na wanalindwa na Mungu


Sky Eclat

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Messages
34,503
Points
2,000
Sky Eclat

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined Oct 17, 2012
34,503 2,000
Kabisa ,Juzi ninepanda Gari ya Dar moro nikasikia muhudumu wa gari akitangaza Usipokee chakula chochote kutoka kwa abiria wenzako ambae umekutana nae humu kwenye gari, Aisee nikashtuka nikamuuliza kwa nn?, Akasema ikitokea Umepata shida kutokana na chakuka hicho aliyekupa atakuwa matatani, pia wengine huwa wanagawa vyakula vyenye madawa ya kulevya ili aweze kukuibia.

Tangu siku Hiyo sigawi wala kupokea vitu ovyo kwa nisiemfahamu
Matendo yetu wanadamu yanaharibu kabisa mipango ya Mungu ya kuishi kwa upendo.
 

Forum statistics

Threads 1,294,205
Members 497,843
Posts 31,168,260
Top