Nimeamni watoto ni malaika na wanalindwa na Mungu

M

Ms mol

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2017
Messages
1,741
Points
2,000
M

Ms mol

JF-Expert Member
Joined Mar 31, 2017
1,741 2,000
n
Same to me...Kuna jumamosi(haikuwa mwisho wa mwezi) na Kuna ripoti nilikuwa sijatuma. Ile nataka kwenda ofisini kwa miguu kwa kuwa sikuwa na nauli (Mimi ni mwanaume was mikoani) mwanangu akagoma katakata nisimuache....nikipiga hatua ishirini namsikia huko akilia roho inauma narudi....boss naye anapiga simu balaa...nikitaka kuondoka mtoto analia..mwanagu alikuwa na kilo 16 nikaamua kumbeba kwenda naye kazini, umbali ni km 10 hivi. Kufika kazini yule mlinzi tu akampenda akasema mtoto mzuri, shika hii (akatoa buku mbili) nikapita floor ya chini, dada wa mapokezi akasema duh ndio una mtoto mzuri hivi(akampa buku mbili)..zote hizo nazidaka...tukaingia kwenye lift watu wakampenda pia...maza mmoja akampa buku ya pipi. Kufika ofisini Sasa nikamuwekea kiti, nikawa naandaa ripoti boss yupo pembeni...nikitaka peni namwambia C.... naomba hiyo peni, analeta...boss akitaka kuweka itv namwambia C.... mpe babu rimoti ile pale anampa boss basi ripoti nikaimaliza, ile namtumia boss tu, akampa Kwanza dogo 20 halaf akaniambia nipite kwa muhasibu....kwa mara ya kwanza (ndani ya miaka mitatu) boss alitoa nauli ya weekend.....I love my daughter
I love it.
 
M

mangatara

JF-Expert Member
Joined
Jul 6, 2012
Messages
12,548
Points
2,000
M

mangatara

JF-Expert Member
Joined Jul 6, 2012
12,548 2,000
Sky Eclat,
Wadhani aliyeipata hiyo offer ni weye au huyo mtoto wako? Kwangu nadhani hiyo bahati ni weye uliipewa. Hebu fikiri, kama usingelipata huo mtori, halafu ulipotoka, huku una njaa, ghafla kibaka akakuibia mfuko wako wenye nauli. Si ungetwanga kwa mguu huku umembeba mtoto hadi home??
Basi nasema, huo muujiza ulikuwa umemwomba Mola akakupatia.
Ni, hivi;
Nilikuwa nimepoteza ajira. Nipo mjini na familia. Nyumba ya kupanga wapo watu aina nyingi. Mmoja, mwenye majivuno yake, akaliamsha dude na mkewe. Freezer inatakiwa kuoshwa mzee aweke vitu vipya. Yalitolewa manyama ka Kg 10 hivi kwamba yatupwe pamoja na mchele wa Mbeya kg 40 hivi na mafuta ya kupikia. Vyote amri ikatolewa vitupwe visilete ugonjwa ndani ya nyumba. Familia haiwezi kula uozo.
Yule mama mlango wa kwanza uliokuwa wazi ni wangu. Hivyo akavitupilia mle ndani haraka na kuurudishia. Tukiwa kimya na mfadhaiko ndio tukasikilizia ugomvi ule kuwa, hataki kuona mavyakula yaliyoganda ndani ya nyumba yake.
Tulikula kama matajiri mwezi mzima vyakula vizuri kabisa bila shida. Jambo la ajabu; Sikuwa na freezer hivyo tukaomba kuweka nyama yetu kwake na akaruhusu. Tukairudisha ile nyama kwenye freezer ile ile na tukawa tunakata taratiibu.
Je, hapo malaika ni mimi au mke wangu na watoto??
Muujiza huja upendapo
 
Sky Eclat

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Messages
34,502
Points
2,000
Sky Eclat

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined Oct 17, 2012
34,502 2,000

Mkuu watoto wana baraka sana
 
Ni watoto mkuu
 
Sky Eclat

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Messages
34,502
Points
2,000
Sky Eclat

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined Oct 17, 2012
34,502 2,000
Huenda hakuwa na interest na mtoto ila ndo ilikuwa njia pekee ya kujaribu kujipenyeza moyoni mwako
[/QUOTE]
Simfahamu na hatukuonana tena baada ya siku ile
 
Inna

Inna

JF-Expert Member
Joined
Jan 13, 2017
Messages
9,125
Points
2,000
Inna

Inna

JF-Expert Member
Joined Jan 13, 2017
9,125 2,000
Same to me...Kuna jumamosi(haikuwa mwisho wa mwezi) na Kuna ripoti nilikuwa sijatuma. Ile nataka kwenda ofisini kwa miguu kwa kuwa sikuwa na nauli (Mimi ni mwanaume was mikoani) mwanangu akagoma katakata nisimuache....nikipiga hatua ishirini namsikia huko akilia roho inauma narudi....boss naye anapiga simu balaa...nikitaka kuondoka mtoto analia..mwanagu alikuwa na kilo 16 nikaamua kumbeba kwenda naye kazini, umbali ni km 10 hivi. Kufika kazini yule mlinzi tu akampenda akasema mtoto mzuri, shika hii (akatoa buku mbili) nikapita floor ya chini, dada wa mapokezi akasema duh ndio una mtoto mzuri hivi(akampa buku mbili)..zote hizo nazidaka...tukaingia kwenye lift watu wakampenda pia...maza mmoja akampa buku ya pipi. Kufika ofisini Sasa nikamuwekea kiti, nikawa naandaa ripoti boss yupo pembeni...nikitaka peni namwambia C.... naomba hiyo peni, analeta...boss akitaka kuweka itv namwambia C.... mpe babu rimoti ile pale anampa boss basi ripoti nikaimaliza, ile namtumia boss tu, akampa Kwanza dogo 20 halaf akaniambia nipite kwa muhasibu....kwa mara ya kwanza (ndani ya miaka mitatu) boss alitoa nauli ya weekend.....I love my daughter
Duuuh kweli mtoto wako hapa katumika kama baraka
 
recycle Bin

recycle Bin

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2018
Messages
423
Points
500
recycle Bin

recycle Bin

JF-Expert Member
Joined Sep 21, 2018
423 500
Umefanya vyema sana kushukuru, haijalish n mda gan umepita ila shukran n muhim sana kwa mema yote tunayotendewa
 
Extrovert

Extrovert

JF-Expert Member
Joined
Feb 29, 2016
Messages
15,428
Points
2,000
Extrovert

Extrovert

JF-Expert Member
Joined Feb 29, 2016
15,428 2,000
Same to me...Kuna jumamosi(haikuwa mwisho wa mwezi) na Kuna ripoti nilikuwa sijatuma. Ile nataka kwenda ofisini kwa miguu kwa kuwa sikuwa na nauli (Mimi ni mwanaume was mikoani) mwanangu akagoma katakata nisimuache....nikipiga hatua ishirini namsikia huko akilia roho inauma narudi....boss naye anapiga simu balaa...nikitaka kuondoka mtoto analia..mwanagu alikuwa na kilo 16 nikaamua kumbeba kwenda naye kazini, umbali ni km 10 hivi. Kufika kazini yule mlinzi tu akampenda akasema mtoto mzuri, shika hii (akatoa buku mbili) nikapita floor ya chini, dada wa mapokezi akasema duh ndio una mtoto mzuri hivi(akampa buku mbili)..zote hizo nazidaka...tukaingia kwenye lift watu wakampenda pia...maza mmoja akampa buku ya pipi. Kufika ofisini Sasa nikamuwekea kiti, nikawa naandaa ripoti boss yupo pembeni...nikitaka peni namwambia C.... naomba hiyo peni, analeta...boss akitaka kuweka itv namwambia C.... mpe babu rimoti ile pale anampa boss basi ripoti nikaimaliza, ile namtumia boss tu, akampa Kwanza dogo 20 halaf akaniambia nipite kwa muhasibu....kwa mara ya kwanza (ndani ya miaka mitatu) boss alitoa nauli ya weekend.....I love my daughter
Hahah mtoto wako ana nyota ya Beyonce, lazma aje kuwa na hela sana na kupendwa na tajiri...just joking!!!
You have been blessed bro, mtunze mwanao vyema!
 
Zakamwamoba

Zakamwamoba

Senior Member
Joined
Jul 28, 2016
Messages
112
Points
250
Zakamwamoba

Zakamwamoba

Senior Member
Joined Jul 28, 2016
112 250
vijana wenye moyo huo wako wengi tu sema siku hizi ukimpa tu(kushare chakula na mtu) mtu chakula alaf aliyekaribishwa akapata madhara fulani basi ujue aliyekaribisha chakula anapata msara....ndio maana siku hizi watu tunakuwa wachoyo
Kabisa ,Juzi ninepanda Gari ya Dar moro nikasikia muhudumu wa gari akitangaza Usipokee chakula chochote kutoka kwa abiria wenzako ambae umekutana nae humu kwenye gari, Aisee nikashtuka nikamuuliza kwa nn?, Akasema ikitokea Umepata shida kutokana na chakuka hicho aliyekupa atakuwa matatani, pia wengine huwa wanagawa vyakula vyenye madawa ya kulevya ili aweze kukuibia.

Tangu siku Hiyo sigawi wala kupokea vitu ovyo kwa nisiemfahamu
 
Forum statistics

Threads 1,294,190
Members 497,843
Posts 31,167,576
Top