Nimeamini TANESCO wanatumika kisiasa

jembe afrika

JF-Expert Member
Jan 15, 2014
7,604
3,753
Nafikiri kila mmoja ni shahidi kwa aibu aliyoipata Magufuli ya kuzomewa!sasa wameamua kukata umeme karibu nchi nzima ili tusione news ya aibu ya saa mbili.pole yao siku hizi hatutegemei TV kihivyo.Waende TCRA wazuie na bando za net hapo ndo watatuweza.poleni CCM hiyo ni laana ya watanzania mpaka hamjitibui.
 
Hii ndio inaonyesha wa vyama vingine sio wastaarabu,kwani kumzomea mtu kwahitaji pesa?Si pia CCM wangekuwa wanawazomea wagombea wengine,lakini CCM ni wastaarabu.
 
Back
Top Bottom