Nimeamini sifa pochi nene sio sura

Nimeamini sifa pochi nene sio sura

Wahenga walisema
"Penye uzia, penyeza rupia".

Hii inasaidia sana kuwalainisha hawa viumbe wetu tuloumbiwa.

Unaweza ukaona hata baadhi ya wanaume wako radhi kuazima hata magari ili wakawateke na kuwaibia wanawake mikoba na pesa hadi kubakwa wengine.

Hii yote ni kwasababu wao wakiona gari tu, mindset zao huwaza kuna pesa hapo.

Pesa, pesa, pesa ni uchawi kwa mwanamke.
Wanaume tuzisake pesa , ili tuishi nao kwa amani japo pesa si kila kitu kwa mwanamke.
 
Kweli bro mchawi Pesa tu
 
Lelo ndero !!Umenifuahisha sana kwa hilo neon mkuu . Ndivyo ilivo mtaka cha uvunguni sharti uiname. ''Ubhakeli''
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kweli ukiwa na mkono Wa birika uta ambulia kupiga puri tu ngoja tuzisake
 
Mambo vip wakuu,,
Juzi nlikua natoka arusha kuja dar,pembeni nilikua nimekaa na mshkaji flan hvi ana asili ya kiarabu muda wote alikua anaongea na simu na kumtukana demu wake Mana alikua anahasi anasalitiwa alinichosha kwa kelele zake.
Back to ze point, pembeni kwenye seat yetu alikua amekaa dada flan hv mzuri yupo na kanjemba seat moja Dada alionekana yupo serious sana jamaa akawa anamsemesha demu ,bint akawa anakula ganzi muda ukaenda jamaa aka anza kumnunulia azamu juice demu aka anza kukenua meno nkasema tayar mbuz kafia kwa muuza bucha ,tulishuka kula kijamaa kikajitutumua kumnunulia chakula demu akawa anafurahi tu ikafika muda ya sa moja ucku kwenye bado tupo kwenye gar nkaona kanjemba kanamshika shika yule bint ,kale kabint kamelegea nikanena kwa kilugha chetu ila kimoyo '' lero ndero'' cha ajbu tulipofika ubungo nikona jamaa kachukua tex na demu wakaenda wanakokujua .
Nimeani dunia sifa pochi nene sio sura Mana kanjemba kalikua na sura ngumu kudadekii
Alikuwa na sura kama ya remmy ongala au muhidin ngurumo? !(rip)
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom