Mwana Mtoka Pabaya
JF-Expert Member
- Apr 22, 2012
- 15,117
- 16,500
Sukushangai, tatizo ni viporo vyako vya wanzuki unavyofakamia kabla ya kuja kubwata humu.
Kwa hiyo leo unauaminisha umma kuwa bosi wa baraza la mawaziri ambalo kimsingi mawaziri ndiyo wanawajibika ni waziri mkuu!?
Usijitie upofu hapa hatujadili chain of command tunajadili mheshimiwa waziri mkuu kupewa salamu za rambi rambi kwa kifo cha waziri.
Zichi huyu. Nilitaka nimuulize swali kwa nini PM hakumchukulia hatua Jairo akasema asubiriwe bosi wake ambaye by then alikuwa SA anakagua makaburi? Lakini nimuulize mgonjwa juu ya ugonjwa wake mwenyewe itakuwa haki hiyo? Mgonjwa huzijua dalili za kuumwa kwake tu, maradhi ni yepi anajua daktari.
Lowassa kamvuruga kila mtu Lumumba, wanaamka na ugali usiku wanakunywa chai