Wapi nimezumguzia afya ya mtu hayo mambo mnafanya nyie Bavicha.
Mimi najua kuwa maradhi yanamkuta binadamu yeyote wala hamna anayeomba maradhi.
Uwezi kunisoma hata siku moja naleta kejeli kwenye maradhi ya binadamu mwenzangu hata siku moja.
Uchovu kiutendaji kamanda na si vinhinevyo. Acheni kabisa kuzungumzia afya za watu. Hata Mungu hapendi.
Nasikitika kuona taifa letu linaujinga mkubwa kiasi hiki kama kwa hili umeshindwa kuelewa na kukurupuka kulaumu kumbe kwako ndo ufahamu umepungua
waziri mkuu anatumiwa salamu za rambirambi ili kupitia ofisi yake serikali itoe salamu za rambirambi kupitia kwake hivyo ni vyema ukafuatilia vizuri