Nimeamini sasa, Rais Kikwete amechoka

Nimeamini sasa, Rais Kikwete amechoka

Mtoa post hujielewi rais kumtumia salamu za rambi rambi waziri mkuu haimaanishi kuchoka bali ni utaratibu wa kimajukumu kwani mawaziri wote wapo chini ya waziri mkuu kama hujui taratibu za kiuongozi basi lwo uelewe hivyo usikurupuke siku nyingine
 
Maswali hayo hata mimi nilijiuliza sana lakini nikaamua kukauka tu maana ukweli JK kisha niacha njiapanda mara nyingi sana so na hili nalo nikaliona ni lile lile tu.
 
kupitia taarifa ya habari ya itv usiku huu nimesikia kwamba rais jakaya mrisho kikwete amemtumia salamu za rambi rambi waziri mkuu mh. Mizengo pinda kutokana kifo cha aliyekuwa mbunge wa ulanga na waziri katika ofisi ya rais utumishi mh. Celina kombani.
Sasa najiuliza hivi nani ni mfiwa hapo?
1. Huyu ni mteule wa rais kwa maana ya waziri.
2. Huyu ni waziri anayefanya kazi katika ofisi ya rais ambayo kimsingi ndiye mh. Kikwete.
3. Mjumbe katika baraza la mawaziri ambalo mh. Kikwete ni mwenyekiti.
4. Mwanachama na mjumbe wa halmashauri kuu ya ccm chama ambacho mh. Rais kikwete ndiye mwenyekiti wake.
Sasa salamu hizo za rambi rambi kwa waziri mkuu zinamantiki ipi?
Hebu watu wa itifaki tusaidiane hapa.

kutofaham mambo ni tatizo, labda niseme hivi...mawaziri wote wapo chini ya ya ofisi ya waziri mkuu, hivyo katika nafasi ya serikali unapofuata utaratibu/protokali inakupasa upitie ofisi ya waziri mkuu kwenda kwa ofisi ya waziri wake.
 
Akili ni nywele kila mtu na zake,
Bosi wa waziri ni waziri mkuu au rais? Unadhani kuwa waziri ofisi ya RAIS kuna mfanya waziri kuripoti kwa rais au kwa bosi wako waziri mkuu?

Ofisi ya RAIS ni eneo lake la kazi, anaripoti baraza la.mawaziri ambako mkuu wake ni Pinda.

Kabla hatujaanza kupiga makelele walau tujitahidi kujua chain of command ya uongozi wa nchi yetu.

Kesho mtataka RAIS asimheshimu mwenyekiti wake wa serikali za mitaa kisa yeye ni rais yupo juu yake bila kujua bosi wa serikali ya mtaa ni.mwenyekiti wa mtaa husika

mmhh umejitahidi kutoa povu
 
huenda ukawa na mtindio wa ubongo
hivi haujui kuwa mawaziri wapo chini ya waziri mkuu pia? Ama unadhani akitumiwa salamu za rambirambi ndo anakuwa kajishusha mamlaka? Ni vyema ukajua itifaki ndo useme na sio kupost ujinga mbele ya haraiki
 
Ukitaka kujua kachoka tazama hapa huyu waziri wake wa ujenzi kwa kazi anazofanya mpaka sasa huko mikoani, then tumia bongo zako kuchuja,

Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutoka Chama Cha Mapinduzi Dk. John Pombe Magufuli akiwasili kwenye uwanja wa Milango 10 tayari kuhutubia maelfu ya wakazi wa mji wa Kahama waliojitokeza kwa wingi kwenye mkutano wa kampeni za CCM.
Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutoka Chama Cha Mapinduzi Dk. John Pombe Magufuli akiruka kutoka kwenye gari wakati akiwasili kwenye uwanja wa mkutano mjini Kahama.

Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutoka Chama Cha Mapinduzi Dk. John Pombe Magufuli( wa tatu kutoka kushoto) akiongoza meza kuu kumuombea mapumziko mema mgombea wa Ubunge wa Jimbo la Ulanga Mashariki Mhe. Celina Kombani aliyefariki nchini India tarehe 25 Sept.
Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutoka Chama Cha Mapinduzi Dk. John Pombe Magufuli akiwachangamsha wakazi wa Kahama kwa kuimba nao nyimbo za hamasa wakati wa mkutano wa hadhara wa kampeni za CCM uliofanyika kwenye uwanja wa Milango 10.
Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutoka Chama Cha Mapinduzi Dk. John Pombe Magufuli akienda sambamba na wakazi wa mji wa Kahama.
Wananchi wakiwa wamebanana kabisa kumuona Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutoka Chama Cha Mapinduzi Dk. John Pombe Magufuli
Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutoka Chama Cha Mapinduzi Dk. John Pombe Magufuli akihutubia wakazi wa mji wa Kahama na kuwaahidi ataubadilisha mji huo na kuwa wa kisasa na wenye maendeleo zaidi.
Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutoka Chama Cha Mapinduzi Dk. John Pombe Magufuli akiwaambia wananchi wa Kahama kuwa atawafanyia kazi Watanzania wote bila kujali Itikadi zao za vyama.
Hivi ndivyo mkutano wa Kahama wa Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutoka Chama Cha Mapinduzi Dk. John Pombe Magufuli ulivyofurika.
Wakazi wa Kahama mjini wakiwa wametosha kwenye mkutano wa kampeni za Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutoka Chama Cha Mapinduzi Dk. John Pombe Magufuli
 
Bunge linapokutana mwenyekiti wao huwa spika, kwa hiyo akifa mbunge salamu za pole atapewa spika, na baraza la mawaziri linapokutana m/kiti wa kikao chao huwa ni Rais, na asipokuwepo makamo wa Rais hukaimu, hata mie sielewi ni kwa itifaki gani Rais amtumie salamu za pole Pinda kwa kifo vha waziri wake tena aliye ktk ofisi yake mwenyewe au wamemnyanyapaa maana hata magazeti ya CCM na ya serikali yake hayakukipa kifo hicho uzito uliostahiki.
 
kwa njia ya kupitia ngazi/ hatua za serikali lazima waziri mkuu awe entrance avenue.
 
Vijana tujifunze kuwa tunafahamu taratibu za kiuongozi kwani waziri mkuu ndiye msimamizi mkuu wa mawaziri na majukumu yote yanasimamiwa na yeye hivyo rais hajachoka wala kukosea kama usemavyo ametimiza majukumu yake kwa mjibu wa taratibu zote za kikanuni kiufupi wewe ndio umechoka
 
Makamanda ebu acheni matani hivi JK na Lowassa nani kachoka.

Lowassa anaingiaje hapo? Unataka kuwaondoa watu kwenye mdahalo wa JK kumpa pole waziri mkuu? Acha hizo wewe.
 
Nasikitika kuona taifa letu linaujinga mkubwa kiasi hiki kama kwa hili umeshindwa kuelewa na kukurupuka kulaumu kumbe kwako ndo ufahamu umepungua
waziri mkuu anatumiwa salamu za rambirambi ili kupitia ofisi yake serikali itoe salamu za rambirambi kupitia kwake hivyo ni vyema ukafuatilia vizuri
 
Ccm wamevurugwa sion umuhimu wa kumtumia pinda salam wakati alimzalilisha kumkata eti hafai.
Leo asubuhi metro fm walikuwa wanamuhoji katibu wa ccm kwanza mtangazaji kamuhuliza kuwa kukwatwa kwa pinda wakati ndo ntendaji mkuu wa serikari inaleta picha gani mweeeee nimeshangaa alivyojibu

kajibu kuwa walilinganisha nani mi mtendaji bora zaidi. Sasa nijajiuliza kwann pombe hakupewa nafasi hiyo ya uwaziri mkuu??

Mtangazaji kamuuliza tena mh bilali ni nafasi kubwa almost to the president vip kukatwa kwake? Akajibu ivi. Hivi piga picha bilali kagombea na slaa nini kingetokea??

Kumbe nikajua ccm hawaamini watendaji wao? Pole mh pinda na makamu wetu wa raisi.

Bahati mbaya mtangazaji hakuruhusu maswali hata sms tulizotuma hakusoma.

Wangeruhusu maswali huyu katibu angezimia studio.
 
Hiv mbona marais wa nje hawaju kuaga huku kwetu ukiaanza na kenya, nigeria na ulaya
 
Ukitaka kujua kachoka tazama hapa huyu waziri wake wa ujenzi kwa kazi anazofanya mpaka sasa huko mikoani, then tumia bongo zako kuchuja,

Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutoka Chama Cha Mapinduzi Dk. John Pombe Magufuli akiwasili kwenye uwanja wa Milango 10 tayari kuhutubia maelfu ya wakazi wa mji wa Kahama waliojitokeza kwa wingi kwenye mkutano wa kampeni za CCM.
Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutoka Chama Cha Mapinduzi Dk. John Pombe Magufuli akiruka kutoka kwenye gari wakati akiwasili kwenye uwanja wa mkutano mjini Kahama.

Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutoka Chama Cha Mapinduzi Dk. John Pombe Magufuli( wa tatu kutoka kushoto) akiongoza meza kuu kumuombea mapumziko mema mgombea wa Ubunge wa Jimbo la Ulanga Mashariki Mhe. Celina Kombani aliyefariki nchini India tarehe 25 Sept.
Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutoka Chama Cha Mapinduzi Dk. John Pombe Magufuli akiwachangamsha wakazi wa Kahama kwa kuimba nao nyimbo za hamasa wakati wa mkutano wa hadhara wa kampeni za CCM uliofanyika kwenye uwanja wa Milango 10.
Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutoka Chama Cha Mapinduzi Dk. John Pombe Magufuli akienda sambamba na wakazi wa mji wa Kahama.
Wananchi wakiwa wamebanana kabisa kumuona Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutoka Chama Cha Mapinduzi Dk. John Pombe Magufuli
Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutoka Chama Cha Mapinduzi Dk. John Pombe Magufuli akihutubia wakazi wa mji wa Kahama na kuwaahidi ataubadilisha mji huo na kuwa wa kisasa na wenye maendeleo zaidi.
Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutoka Chama Cha Mapinduzi Dk. John Pombe Magufuli akiwaambia wananchi wa Kahama kuwa atawafanyia kazi Watanzania wote bila kujali Itikadi zao za vyama.
Hivi ndivyo mkutano wa Kahama wa Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutoka Chama Cha Mapinduzi Dk. John Pombe Magufuli ulivyofurika.
Wakazi wa Kahama mjini wakiwa wametosha kwenye mkutano wa kampeni za Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutoka Chama Cha Mapinduzi Dk. John Pombe Magufuli

Huyu amechoka kweli ndo maana anainama kwenye majukwaa akijiaminisha anapiga push up.
 
Akili ni nywele kila mtu na zake,
Bosi wa waziri ni waziri mkuu au rais? Unadhani kuwa waziri ofisi ya RAIS kuna mfanya waziri kuripoti kwa rais au kwa bosi wako waziri mkuu?

Ofisi ya RAIS ni eneo lake la kazi, anaripoti baraza la.mawaziri ambako mkuu wake ni Pinda.

Kabla hatujaanza kupiga makelele walau tujitahidi kujua chain of command ya uongozi wa nchi yetu.

Kesho mtataka RAIS asimheshimu mwenyekiti wake wa serikali za mitaa kisa yeye ni rais yupo juu yake bila kujua bosi wa serikali ya mtaa ni.mwenyekiti wa mtaa husika

Bosi wa waziri sio waziri mkuu wala mawaziri hawa report kwa waziri mkuu wewe popoma. Hujui chochote unajuongelea tu kama zuzu
 
Back
Top Bottom