Hiyo sio siri. Wengi tunajua roho ya Nape iko CDM bali mwili uko CCM. Anatamani aungane na vijana wenzake wenye akili zinazochemka huko CDM maana huko CCM vijana karibia wote bongo zao zimekandamizwa na mfumo hatarishi wa chama hicho.
NO NO NO HATULITAKI VUVUZELA WAKAUNGANE NA SHIBUDA HUKO HUKO KWA MAGAMBA.:israel:Jamaa Hawezi kaa bila mdomo wake kutaja neno chadema, ata akihojiwa kwenye vyombo vya habari ata kama mada haihusiani na chadema lakini utasikia anaitaja chadema..Juzi kati apo General anamhoji ata havihusiani na chadema lakini kaitaja badae akajistukia, kama vipi hamia chadema wewe na jamaa zako
Masaburi yake yako CCJ....Hiyo sio siri. Wengi tunajua roho ya Nape iko CDM bali mwili uko CCM. Anatamani aungane na vijana wenzake wenye akili zinazochemka huko CDM maana huko CCM vijana karibia wote bongo zao zimekandamizwa na mfumo hatarishi wa chama hicho.
Sidhani kama kuna mtu anaichukia CDM wote tunaipenda hata magamba ndiyo maana hata arumeru tulimpitisha Nassari, kwani hamjui hilo, kila mtu kwa sasa anatamani kwenda cdm isipokuwa vilaza wa kufikiri na kuona ukweli, maana hawana nafasi hivyo kuendekeza chuki na wivu.Jamaa Hawezi kaa bila mdomo wake kutaja neno chadema, ata akihojiwa kwenye vyombo vya habari ata kama mada haihusiani na chadema lakini utasikia anaitaja chadema..Juzi kati apo General anamhoji ata havihusiani na chadema lakini kaitaja badae akajistukia, kama vipi hamia chadema wewe na jamaa zako