Nimeamini Nape Anaipenda Chadema kutoka Moyoni

KML

JF-Expert Member
Apr 2, 2012
861
133
Jamaa Hawezi kaa bila mdomo wake kutaja neno chadema, ata akihojiwa kwenye vyombo vya habari ata kama mada haihusiani na chadema lakini utasikia anaitaja chadema..Juzi kati apo General anamhoji ata havihusiani na chadema lakini kaitaja badae akajistukia, kama vipi hamia chadema wewe na jamaa zako
 
Hiyo sio siri. Wengi tunajua roho ya Nape iko CDM bali mwili uko CCM. Anatamani aungane na vijana wenzake wenye akili zinazochemka huko CDM maana huko CCM vijana karibia wote bongo zao zimekandamizwa na mfumo hatarishi wa chama hicho.
 
Atoe talaka ccm ili aje tumuoe CDM chama cha wenye akili timamu.
 
Hata James ole milya ilikua hivyo hivyo alikua njia panda sasa
na huyu jamaa avue gamba avae gwanda
 
Nape anajidhalilisha huko ccm inaonekana anamambo mazuri kichwani lakini ndani ya ccm yeye ni kama tone la damu kwenye maji ya mahari.
 
Hiyo sio siri. Wengi tunajua roho ya Nape iko CDM bali mwili uko CCM. Anatamani aungane na vijana wenzake wenye akili zinazochemka huko CDM maana huko CCM vijana karibia wote bongo zao zimekandamizwa na mfumo hatarishi wa chama hicho.

Bado kidogo tu, utasikia. Subiri, kule aliko hakukaliki.
 
NAPE:- ......mfano CHADEMA....japokuwa sipendi kuitaja,....wana.....
kazi kweli kweli
 
In fact Nape pamoja na longo longo zake za kuichafua chadema hana harufu ya rushwa ama ufisadi.
Tunaweza kumpokea chadema akitaka.
 
Kwa tabia za kina Shibuda ni bora asije kwani sisi tunapokea vichwa hayo magalasa yabaki magambani tu
 
anu sober person with just small to reasonable brain anayeijua nchi hii lzm akili yake itakuwa CDM. Si ajabu Nape nae kuwa CDM. VInginevyo atakuwa mnafiki wa nafsi, akili na utashi wake. Ni maslahi tu yanamfanya awe CCM
 
nape anafahamika, toka zamani, kuwa ni CDM, hata walipokuwa wanaanzisha CCJ, nasikia kuwa aliwashawishi wenzie wahamie CDM, Sitta akasema akienda CDM hatapata nafasi ya kugombea uraisi, na Mwakyembe akasema hawezi kuupata uPinda, ndio wakashauri kuundwa ccj, but Nape hautaka kabisa...
 
Jamaa Hawezi kaa bila mdomo wake kutaja neno chadema, ata akihojiwa kwenye vyombo vya habari ata kama mada haihusiani na chadema lakini utasikia anaitaja chadema..Juzi kati apo General anamhoji ata havihusiani na chadema lakini kaitaja badae akajistukia, kama vipi hamia chadema wewe na jamaa zako
NO NO NO HATULITAKI VUVUZELA WAKAUNGANE NA SHIBUDA HUKO HUKO KWA MAGAMBA.:israel:
 
Kweli huyu jamaa nilimwona kama vile kajichubua halafu hangalia hata ****** cjui katumia Mchina medicine mwacheni alinde ajira yake
 
ndo madhara ya kula nyama lakini hauko huru zaidi ya kula dagaa ukabaki na uhuru wako
 
Hiyo sio siri. Wengi tunajua roho ya Nape iko CDM bali mwili uko CCM. Anatamani aungane na vijana wenzake wenye akili zinazochemka huko CDM maana huko CCM vijana karibia wote bongo zao zimekandamizwa na mfumo hatarishi wa chama hicho.
Masaburi yake yako CCJ....
 
Jamaa Hawezi kaa bila mdomo wake kutaja neno chadema, ata akihojiwa kwenye vyombo vya habari ata kama mada haihusiani na chadema lakini utasikia anaitaja chadema..Juzi kati apo General anamhoji ata havihusiani na chadema lakini kaitaja badae akajistukia, kama vipi hamia chadema wewe na jamaa zako
Sidhani kama kuna mtu anaichukia CDM wote tunaipenda hata magamba ndiyo maana hata arumeru tulimpitisha Nassari, kwani hamjui hilo, kila mtu kwa sasa anatamani kwenda cdm isipokuwa vilaza wa kufikiri na kuona ukweli, maana hawana nafasi hivyo kuendekeza chuki na wivu.
 
akimbie upesi sana hata aende TLP au PPT maendeleo, CCM itakufa itamwacha yeye anaendelea kuwa msemaji
 
Similar Discussions

2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom