Nimeamini Mtalaka hatongozwi

Nimeamini Mtalaka hatongozwi

Au wataka fanya kama Mwana F.A. alolala na bibi harusi siku moja kabla ya harusi wakati si bwana harusi.... hahaha
😂😂Hii kauli alishanitamkia mwenyewe kwa mdom wake nina uhakik ata akishaolewa atataka tuendele kulana ila me stak akiolewa t me bc
 
najaza fuso la maex,ila tukiachana huwa sitaki mazoea tena na siwezi kuwa hata na tone la hisia na ex
Mmmmh!!! Labda kweli mkuu. Ila kwa me ninachojua mwanamke mlieachana kama alikufeel.... hawezi kukusahau... na kama mlikuwa na moments zilizowaleta pamoja huwezi msahau au kuacha kumfeel.

Wewe hukuwa na wa hivyo mkuu?
 
Nakubari kabisa mkuu!!!... huyu mdudu ni hatari sana. Twajitahidi kujikinga mkuu.

Siku hizi kuna vipimo vinaitwa HIV-SELF TEST. hivi mkuu unatumia kupima kwa mate tu. Unasugua kwenye fizi kidogo. Kinakupa majibu mkuu...
Mambo yameadvance si lazima mtoboane au mwende clinic
Vipo pharmacy ?
 
Vipo pharmacy ?
Pharmacy vipo mkuu!! Lakini hata mahospitalini sokuizi vipo wanagawa bure kabisa mkuu.

We ukienda nenda Kule CTC (Kitengo cha Tiba na Matunzo) mtafute nesi yoyote.

Mwambie naomba HIV- SELF TEST.


lakini pia, natamani niwape elimu juu ya dawa Inaitwa PREP, hii inatolewa huko huko CTC, inasaidia Sana kukukinga Usipate ukimwi hata ukipige Peku. Sema Ina mashart yake madogo kama tu Ya ARV
Kunguru wa Manzese
 
Back
Top Bottom