APPROXIMATELY
JF-Expert Member
- Aug 10, 2021
- 2,035
- 2,737
Alafu demu niliyemzoe nakula kimazoea ni kama gari jipya,kabla ujalizoea unaendesha mara kwa mara ukishalizoea unalipaki tu,unaendesha mara chache sanaHiyo ndo huwa naweza japo huwa haitokei mara kwa mara. Ni mpaka kwa demu mpya Tu. Au wewe unaunganisha kwa hadi ulomzoea sana?





