KikulachoChako
JF-Expert Member
- Jul 21, 2013
- 19,759
- 39,493
Hamu za kimaumbile ni jambo la kawaida na ni afya pia kuhisi hivyo....lakini kuendeshwa hali hiyo kimaumbile ni mapungufu na mtu yoyote asipoweza kujidhibiti Hali hiyo mapema basi yupo kwenye njia ya maangamizo.....Na wadogo zetu wa kiume walio vyuo vikuu na hawana maisha bado waishi vipi mkuu ilhali wana matamanio pia? Hela hawana na bado wanatafuta maisha, waishije ili kupunguza hamu?

