barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,405
- 29,811
Hata usingeota..ila ndo huyo ameshaandaliwa tayar...na kama huamin subr 2015...hata akipita mtafanya nn!!!mana wa TZ weng tunajua kuongea lakin vitendo 0...
Nimeona umakini mkubwa sana kwa Lowassa na kambi yake. Hawakurupuki, hawaropoki ovyo hawajibu tuhuma hovyo, wamejipanga vya kutosha na wako makini sana.
Sijawahi ona Lowassa akikurupuka kujibu tuhuma.
Sijaona Lowassa akisema sema ovyo.
Sijaona Tuhuma iliyothibitisha wazi kama Lowassa ni mwizi
LOWASSA
Amekuwa mtu makini sana
Mwenye msaada mkubwa kwa jamii
Mwenye kusikiliza
Anayesaidia vijana
Aliyewatoa watu wengi tofauti na hawa wabinafsi wetu
Mwenye mwelekeo maalumu
Asiyependa utani na mtu
LOWASSA
Hataowaonea huruma wazembe (Alifanya hivi pale alipokuwa waziri mkuu)
Hataacha mambo yaende kiholela
Hata kuwa na ubia kwenye urais wake
Atafanya maamuzi magumu
Atawaangalia wazee
Atawaangalia vijana
Hatawaacha wakinamama
Atawatetea wanyonge.
Atafufufua matumaini yalioachwa na Nyerere
Lowassa aweza ,Lowassa atosha.
Mmetumwa Ninyi?...Nauliza ...Mmetumwaa....Eeh?
Wanga Wakubwa Ninyi
Tunataka Hela Zetu!!
Ndio tumetumwa na membe,sita,&makambaMmetumwa Ninyi?...Nauliza ...Mmetumwaa....Eeh?
Kila nikitazama Tanzania na vutuko vyake huwa namkumbuka sana Lowasa kiongozi makini na anayetekeleza kwa vitendo kile anachomaanisha namuombea kwa mungu ampe uzima Huyu kiongozi makini aje kutuokoa zidi ya hawa makanjanja yanayotauna mpaka mfupa.
liwasa anachukua nchi mwakani vizurii, manake escrow inaonekana imefunika tuhuma zake zote.
usituhusishe na matatizo yako ya akili kijana...tafadhali wai hospitalini. lowassa for 2015
nikikumbuka dawasco.shule za kata.utendaji kazi wenye kasi na wak ati.utii wa sheria bila shurutu.ukaguzi wa miradi na utekelezaji wake.mradi wa maji toka lake victoria mpaka dodoma alipojiuzuru ukaishia kahama.mpango wa kujenga zahanati kila kijiji na mengine mengi sana nathubutu kusema Tanzania bila Lowasa haijawezekana.Kura yangu kwa Lowasa tu.
......Lowassa aje kuwa rais wa nchi hii Hiyo akili au matope!
Lowasa raisi wa Tz 2015Ndio tumetumwa na membe,sita,&makamba