Nimeamini Lowassa ndiye rais ajaye

Mm ni cdm toka moyoni ila kwa ndoto yako naipa % zaid ya 100 na iwe hivyo
Nashkuru kwani sijawahi kumuona live Lowassa wala kushiriki harambe zake lkn ilibidi niamuke na kukaa kitandani kutafakari. Situmii pombe wala sigara yoyote zaidi ya imani yangu ya RC.
 
Sio kila ndoto huwa kweli endelea kulala ndoto zako zitimie
 
KWAIYO HATA ENZI ILE ULIVYOOTA UNAPIGWA MCHEZO MBUZI KAGOMA KWENDA ILIKUWA NI KWELI...ndoto zako nzuli
 
Nashkuru kwani sijawahi kumuona live Lowassa wala kushiriki harambe zake lkn ilibidi niamuke na kukaa kitandani kutafakari. Situmii pombe wala sigara yoyote zaidi ya imani yangu ya RC.

kumbe ndiyo maana unaota majinamizi. Weka imani yako kwa Yesu Kristo....hautaota tena ndoto za ajabu ajabu.
 

Nahidi kupanga foleni wakati wa uchaguzi hata ikiwa ndefu kuanzia mbezi hadi posta kwa ajili ya Lowasa
 
Hii nchi bado sana, yaani wewe kuota amepita kwa kura za maoni za CCM- Dodoma hiyo kwako inamaanisha ameshakuwa rais?!
Endelea kuota amekuchagua kuwa mtabiri wake wa matukio.
 
Lowasa akisimamishwa dhidi ya Dr. Slaa ntapiga kura kwa mara ya kwanza Mungu akinipa uhai na itamwendea Lowasa. NAPENDA MAAMUZI YAKE NA KAMA NI FISADI LETENI VIELELEZO.. wenu mwanademokrasia from Mangi Family
 

Kwa sasa, tunaomba tuamini kuwa ni ndoto kama ndoto nyingine ambazo sio lazima iwe kweli
 

Nimekuheshimu kwakuwa na wewe umeumbwa na Mungu, ndoto uote wewe utuulize sisi kama ni ya ukweli!
 
nashkuru kwani sijawahi kumuona live lowassa wala kushiriki harambe zake lkn ilibidi niamuke na kukaa kitandani kutafakari. Situmii pombe wala sigara yoyote zaidi ya imani yangu ya rc.

nami namuimba mungu ndoto yako utimie tuwapige asubuhi maana huo utakuwa uchaguzikati ya shetan na maraika
 
Kamanda- shule za yebo2 zimewafungua vijana macho.....zamani kijijini ukiweka bendera ya upinzani(CUF, cdm,nk) kijijini mwenyekiti wa kitongoji anakufunga kamba na kukubana ------....... so shule za kata zinaleta mapinduzi makubwa na zitakuwa mwiba wa kuchoma chama tawala na sera zake. yote haya yameletwa na Hon. E.Lowassa!!!!
 
Juzi nilisikia mjadala fulani wa urais ikasemekana ni Makinda au tiba au rose sasa tuamini lipi?, miezi mitatu iliyopita nilisikia salum mara joni, mara tano+moja, mimi nani atakuwa raisi 2015 sitaki kusikia wala kusikiliza hayo mazungumzo
 
Hii nchi bado sana, yaani wewe kuota amepita kwa kura za maoni za CCM- Dodoma hiyo kwako inamaanisha ameshakuwa rais?!
Endelea kuota amekuchagua kuwa mtabiri wake wa matukio.
Naamini ninachoamini huyo ndo rais wetu ni heri huyu mzalendo kuliko alijenga nyumba uarabuni huku akiwachangisha michango ya chama. Asante mungu kwa kuanza kutuonyesha ukweli kati ya Mbowe na Lowassa yupi mwadilifu. Kichapo cha Tshangirai kule Zibambwe kinawasubiri 2015.
 
Kwa sasa, tunaomba tuamini kuwa ni ndoto kama ndoto nyingine ambazo sio lazima iwe kweli
Nashkuru ndo sababu nikalileta kwa watu wenye hekima kama wewe. Kumbuka ni mara yangu ya kwanza ktk maisha kuota jambo ambalo sina interest nalo, na leo ili kuienzi hii ndoto nimeamua kuchorewa picha kubwa ya Lowassa katika Saloon yangu itakayogharimu 60,000/= nashkuru sana kwa hekima yako kwani ni kweli yaweza isiwe hivyo lakini nahsi mungu alikuwa na makusudi flani na ndoto hii. Kinyozi wangu amepinga kuchorewa hiyo picha akidai CHADEMA hawatafika kunyolewa lakini nimemwambia;na iwe hivyo.
 

Ningejua kuwa mtazamo wako ni wa kichama zaidi nisingechangia katika hii thread. Kama issue ni kati ya Lowassa na Mbowe au CCM na CHADEMA mimi naona hainihusu kwa kuwa huwa sina cha kujadili kuhusu vyama vya siasa.
 

Hata first born wa EL aliwahi kuhojiwa na Interpol London alokutwa na 1 trillion ya kununulia nyumba huko London.
 
lowasa ni fisadi tu. asafishiki usipoteze muda wako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…