Ng'wanapagi
JF-Expert Member
- Sep 18, 2013
- 9,116
- 8,658
ndg wana jamvi usiku wa kuamkia leo nimejikuta nikikubwa na ndoto ambayo nimeshuhudia mh. Lowassa akipita kwa kishindo ktk kura za maoni dodoma na kuamsha shamrashamra kila kona ya nchi. {si kawaida yangu kuota wana siasa zaidi ya pilikapilika zangu}. Je ndoto hii ina ukweli? Nb: Sitarajii matusi na kejeli.
Ndg wana jamvi usiku wa kuamkia leo nimejikuta nikikubwa na ndoto ambayo nimeshuhudia Mh. Lowassa akipita kwa kishindo ktk kura za maoni Dodoma na kuamsha shamrashamra kila kona ya nchi. {Si kawaida yangu kuota wana siasa zaidi ya pilikapilika zangu}. Je ndoto hii ina ukweli? NB: Sitarajii matusi na kejeli.

Bora umesama hivyo vinginevyo ningekuunganisha na mtoa mada.... Ameeeen
vijana wanaobalehe huwa wananaota kufanya mapenzi na wanawake mbalimbali. Huwa hawawapati. Wanaishia kujichafua tu.
Huwa nafikiri huyu jamaa anaweza kuwaongoza watanzania. nmemshuhudia kipindi kifupi cha iwaziri mkuu amefanya makubwa
Na iwe hivyo. Wote tuseme Ameeeen
Na iwe hivyo. Wote tuseme Ameeeen
Kazi mnayo kubwa sana mwaka huu hadi uchaguzi mkuu ufike tutaona mengi nakusikia mengi! kachukue hela yako ya siku......!!!Nimeamini Lowassa ndiye rais ajaye.
Ndg wana jamvi usiku wa kuamkia leo nimejikuta nikikubwa na ndoto ambayo nimeshuhudia Mh. Lowassa akipita kwa kishindo ktk kura za maoni Dodoma na kuamsha shamrashamra kila kona ya nchi. {Si kawaida yangu kuota wana siasa zaidi ya pilikapilika zangu}. Je ndoto hii ina ukweli? NB: Sitarajii matusi na kejeli.
Kheri kufilisika mfukoni kuliko kichwa.Ndg wana jamvi usiku wa kuamkia leo nimejikuta nikikubwa na ndoto ambayo nimeshuhudia Mh. Lowassa akipita kwa kishindo ktk kura za maoni Dodoma na kuamsha shamrashamra kila kona ya nchi. {Si kawaida yangu kuota wana siasa zaidi ya pilikapilika zangu}. Je ndoto hii ina ukweli? NB: Sitarajii matusi na kejeli.