Nimeamini kweli pesa ndo kila kitu

Nimeamini kweli pesa ndo kila kitu

CUBICBOY

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2012
Posts
323
Reaction score
258
Siku zote mwenye pesa ni kama mfalme anaweza kupata marafiki wengi na kuchagua mwanamke yeyote anayetaka, kuna jamaa yangu mmoja tunakaa nae ameowa mwanamke mshombeshombe sio siri yule dada ni mzuri sana ameishi nae saizi takriban miezi saba, jamaa yangu yeye nimfanyabiasha wa mazao rejareja ananunua debe anauza rejareja na huyo mwanamke wake alimuanzishia biashara ya mkaa wameishi pamoja katika shida na raha lakini ametokea pedeshee mmoja mwenye pesa zake amemrubuni akamuacha jamaa na saizi amemuoa ,sio siri maisha ya yule dada yamebadilika sana kwa sasa anatembelea gari kali kweli na kakolea kweli kwa jamaa hasikii wala haoni, jamaa yangu amechizika hatamani kuoa tena
Kweli nimeamini pesa inapenyeza sehemu yeyote ile jamani wanaume tutafute pesa wakuu
 
Jifunze kwanza kuandika
 
Sio pesa.....mashine bhana
 
Aloooh dah hamna kitu kinauma kama pesa ikitumika kufanya dhulma ya aina yeyote ile. Its amongst the deadliest pains that a man could ever face in his entire life.
Pesa shetani jamani, what a life unanyang'anywa mke and you won't do shit maana nguvu iliotumika ni ya pesa na wewe huna sio rahisi.
 
Back
Top Bottom