Nimeamini kuwa Simba SC si 'wa kimataifa'

Petro E. Mselewa

Verified Member
Dec 27, 2012
9,556
2,000
Katika michuano ya Klabu Bingwa Barani Afrika,Tanzania inawakilishwa na klabu ya Simba. Jana,Simba wamehitimisha michezo yako mitatu ya ugenini/nje ya Tanzania/kimataifa.

Katika michezo yote mitatu kule DR Congo,Misri na Algeria, Simba imepokea kichapo. Imekandikwa jumla ya mabao 12. Simba haijapata hata goli moja kwenye michezo yote ya ugenini.

Kwa kuthibitisha kuwa Simba ni wa ndani ya Tanzania,imeshinda michezo yake miwili Uwanja wa Taifa Dar es Salaam na imebakiza mchezo mmoja na AS Vita ya Congo tarehe 16/3/2019.

Kwa kukosa ushindi,sare au hata goli kwa mechi tatu nje ya Tanzania,nimeamini kuwa Simba si wa kimataifa. Yanga wanastahili kuitwa hivyo! Kufungwa kila mechi ya ugenini kutaipa vipi Simba nafasi ya kusonga mbele?
 
ankai

JF-Expert Member
Nov 25, 2017
2,210

Well said mkuu!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
MLA PANYA SWANGA

JF-Expert Member
Jul 31, 2015
4,778

Itaje timu iliyobeba point tatu ugenini ktk kundi D.
Sauora kasare home and away kashinda 2 home=8
Al hly kasare away 1 kashinda2 hone =7
Vital kashinda home 2 kasare 1 home =7
Simba kashinda 2 home kapoteza away zote =6
Timu zote zinazomalizia nyumbani ndo zina advantage ya kusonga mbele and not otherwise.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Petro E. Mselewa

Verified Member
Dec 27, 2012
9,556
2,000
Itaje timu iliyobeba point tatu ugenini ktk kundi D.
Sauora kasare home and away kashinda 2 home=8
Al hly kasare away 1 kashinda2 hone =7
Vital kashinda home 2 kasare 1 home =7
Simba kashinda 2 home kapoteza away zote =6
Timu zote zinazomalizia nyumbani ndo zina advantage ya kusonga mbele and not otherwise.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nilitarajia ungeona soni kwa hizo sare za wengine ulizotaja wakiwa ugenini
 
Sheikh23

JF-Expert Member
Jul 11, 2016
792
1,000
Simba jana ilikuwa kama mbuzi aliyenyeshewa na mvua,wachezaji walikosa kujiamini,ni kama kila mmoja alikiwa ana masikitiko kukosekana kwa Okwi.
Kufungwa 12_0 magoli ya ugenini inanifanya niendelee kuamini hawa jamaa ni wa matopeni tu..
Shida nyingine ni jezi ya Soura (jezi ya njano,inayotumiwa na Mabingwa wa kihistoria wa Tanzania Bara_Young Africans) iliongeza hofu kwenye mioyo ya Mikia na hivyo kupoteana na kupigwa Chadema hiyo jana...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
MLA PANYA SWANGA

JF-Expert Member
Jul 31, 2015
4,778
2,000
Nilitarajia ungeona soni kwa hizo sare za wengine ulizotaja wakiwa ugenini
Siwezi kuona soni maana sisi simba hatujapoteza nyumbani kama ambavyo Al hly hajapoteza nyumbani.Saoura kasare ugenini na nyumbani huku game ya fainali anamalizia ugenini ambako hawezi kupona na sisi pia tunamalizia nyumbani na vital kwa mchina ambako hata wababe al hly wameacha pointi yeye ataponea wapi.Kila mtu ashibe nyumbani ugenini ni njaa tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Petro E. Mselewa

Verified Member
Dec 27, 2012
9,556
2,000
Siwezi kuona soni maana sisi simba hatujapoteza nyumbani kama ambavyo Al hly hajapoteza nyumbani.Saoura kasare ugenini na nyumbani huku game ya fainali anamalizia ugenini ambako hawezi kupona na sisi pia tunamalizia nyumbani na vital kwa mchina ambako hata wababe al hly wameacha pointi yeye ataponea wapi.Kila mtu ashibe nyumbani ugenini ni njaa tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa mtani
 
milangomitatu

JF-Expert Member
Nov 30, 2016
1,480
2,000
Itaje timu iliyobeba point tatu ugenini ktk kundi D.
Sauora kasare home and away kashinda 2 home=8
Al hly kasare away 1 kashinda2 hone =7
Vital kashinda home 2 kasare 1 home =7
Simba kashinda 2 home kapoteza away zote =6
Timu zote zinazomalizia nyumbani ndo zina advantage ya kusonga mbele and not otherwise.

Sent using Jamii Forums mobile app
Acha kukariri tena ogopa hizo mechi za mwisho aisee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom