Nimeamini kuwa Simba SC si 'wa kimataifa'

Hata hujui nini sababu za timu,uwanja wa ndege au kitu kingine chochote kuitwa Cha kimataifa.wewe bush lawyer hivi uwanja wa kimataifa wa Julias Nyerere unaitwa International Airport kwa kuwa upo Kenya?

Mkuu usiumuulize maswali Magumu kama haya! Huyu Dada aliyeleta huu Uzi harudi tena hapa anauguza maumizi ya kupigwa kimoja na Lipuli bila ya hata kupakwa Lubricant.
 
Itaje timu iliyobeba point tatu ugenini ktk kundi D.
Sauora kasare home and away kashinda 2 home=8
Al hly kasare away 1 kashinda2 hone =7
Vital kashinda home 2 kasare 1 home =7
Simba kashinda 2 home kapoteza away zote =6
Timu zote zinazomalizia nyumbani ndo zina advantage ya kusonga mbele and not otherwise.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ulitisha kwa uchambuzi huo...... heko
 
Itaje timu iliyobeba point tatu ugenini ktk kundi D.
Sauora kasare home and away kashinda 2 home=8
Al hly kasare away 1 kashinda2 hone =7
Vital kashinda home 2 kasare 1 home =7
Simba kashinda 2 home kapoteza away zote =6
Timu zote zinazomalizia nyumbani ndo zina advantage ya kusonga mbele and not otherwise.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kula like 5 mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bwana mselwa. Kwanza ujue ili upate tiketi ya kwenda robo fainali una itaji point 9tu.

Sasa nakupa darasa. Simba ina mechi 1 mkononi tena ya nyumbani. Tuache ushabiki wa yanga tuongee ualisia rekodi ya simba katika hatu kabla ya kuingia makundi hata makundi haijapoteza mechi hata 1 ya nyumbani iyo ni advantage kubwa kwa simba.

16/3/ sio mbali mtakimbiana vita ataitambua simba kama alyaly alivyojuta kuifahamu. Nimwiko simba kushindwa nyumbani. Jikiteni kwa KMC Leo na ubingwa tunakuja kuubeba vyura nyie.
Kula 5 mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom