Nimeamini kuajiriwa ni utumwa

Nimeamini kuajiriwa ni utumwa

Wanajukwaa kweli nimeamini kuajiriwa ni utumwa,ukiingia jukwaa la ajira na tender ndo utajionea waajiriwa walivyo na hali ngumu.

Kila kona ni vilio na kero. Kuanzia halmshauri ya Itigi mpka uko mtwara ndani ndani ni vilio tu vya kunyimwa fedha za kujikimu, kutopandishwa madaraja na kadhalika na kadhalika. Waajariwa wengi ni watu manungaembe akili zao ziko dormant.

Mkome kabisa, mlishindwa ata kukaanga vitumbua mkapange barabarani???😂😂😂
Baada ya kukosa nafasi kama wao umebaki kuwa mcha-mbuzi.
 
Wanajukwaa kweli nimeamini kuajiriwa ni utumwa,ukiingia jukwaa la ajira na tender ndo utajionea waajiriwa walivyo na hali ngumu.

Kila kona ni vilio na kero. Kuanzia halmshauri ya Itigi mpka uko mtwara ndani ndani ni vilio tu vya kunyimwa fedha za kujikimu, kutopandishwa madaraja na kadhalika na kadhalika. Waajariwa wengi ni watu manungaembe akili zao ziko dormant.

Mkome kabisa, mlishindwa ata kukaanga vitumbua mkapange barabarani???😂😂😂
Huko ni kutafuta mtaji wa kilimo au biashara!
 
IMG_20260531_142341.jpg
 
Hahaha kwa ajira gani? Hizi za halmashauri ya itigi ?? Sijawai ata kufikiria ,akili yangu iko juu kushinda vtu kama ivo.
Huna hizo akili bwana mdogo. Wenye akili hawana hata huo muda wa kufuatilia hayo mambo. Sema nakutakia mapambano mema na wewe upate kanafaso ili hasira zipungue.
 
Back
Top Bottom