Nimeamini kikulacho kinguoni mwako

Nimeamini kikulacho kinguoni mwako

Huyu Rafiki Yuko Social Sana. Kumuuliza Anasema Kuwa Mi Sio Wa Kwanza Kufanyiwa Hivo. Akaniambia Mtu Aliyemfanyia Huo Ufuska. Bahat Alkua Ni Rafki Angu.Kumpandia Hewan Anasema" Nlivoskia 2 Saut Yake Nkakata Sm" Hivyo Inaoyesh Ana Experience.

ww gegeda wote kulalek
 
Basi Jamani, Kuna Dem Nlikua Namfukuzia Ila Akakataa Kunipa No. Za sim, Nikamuomba Rafiki Yake(wakike Ambaye Pia Ni Rafiki Angu) Anipatie Zile No. Chakushangaza Ananipa No. Zake, Je Ana Maana Gan?

kwa hiyo huyu binti alikua rafiki ako bila wewe kua na namba yake?...
 
kumsaliti vipi wakati siyo wapenzi bali wanafukuziana tu.......unakamata fursa hapo.....kama best anaringa.....

hahaha akija kujua sasa kama we uliziba njia na urafiki unaisha
 
Kama ni sicial sana achana naye .
Kuna mdada mmoja huyo yaan alikuwa social mpaka anatia hasira. Kila mwanaume anayemtongoza yeye lazma aniambie wakat walio mgegeda hajawahi kuniambia ilhali skumkuta bikra..

Yaan kuna kipindi alimpa jamaa wakat hata mm nipo.. Yaan yeye ukimsalimia na kumsemesha mawili matatu tayar kakuzoea.
 
Back
Top Bottom