Nimeamini kikulacho kinguoni mwako

Nimeamini kikulacho kinguoni mwako

P.V.Y.

Member
Joined
Jun 11, 2014
Posts
41
Reaction score
3
Basi Jamani, Kuna Dem Nlikua Namfukuzia Ila Akakataa Kunipa No. Za sim, Nikamuomba Rafiki Yake(wakike Ambaye Pia Ni Rafiki Angu) Anipatie Zile No. Chakushangaza Ananipa No. Zake, Je Ana Maana Gan?
 
anamaana ya kuwa ganda la muwa la jana chungu kaona kivuno.......
Au itakuwa anajua kuwa hayupo kwaajili ya manufaa ya mtu mwingne bali kwa manufaa yake
 
Anajipa nafasi yeye kwanza nae sii mwanamke?
 
hapana mi nisingeweza kumsaliti best yangu

labda unamsaliti kivip? Wakat yeye anamchomolea jamaa? Labda kama mwanaume hayuko vizr lakn kama ni kitu bomba... Mbona unaingia tu... Kwan unafikir wanaoliwa mtu na rafikiye wanakuwaje?
 
labda unamsaliti kivip? Wakat yeye anamchomolea jamaa? Labda kama mwanaume hayuko vizr lakn kama ni kitu bomba... Mbona unaingia tu... Kwan unafikir wanaoliwa mtu na rafikiye wanakuwaje?

sasa ukute unataka ku over take na mwanaume hajakupenda ni aibu ya nani hapo
 
embu tumulize kitu baada ya yeye kukupa namba imefika wapi mpaka sasa mmmmh
 
Kula ulichonacho kwanza, then ndio utafute kingine
 
embu tumulize kitu baada ya yeye kukupa namba imefika wapi mpaka sasa mmmmh

Baada Ya Hapo Nikapanda Hewan. Kupokea To Naskia Saut Yake Nkamuulz Naongea Nanan Akasema Jina Huyo Dem Wakat, Sauti Sio Yenyewe. Na Nkawauliza Rafki Zangu Wenye Namba Za Huyu Rafiki Zikawa Zimematch Exactly. Wenye Wakakubal Kuwa Ni Uhun Nimefanyiwa.
 
eti baada ya kukupa namba ww umechukua jukum gani? Kwasababu kuna kale ka kauli ka mpende akupendaye

Huyu Rafiki Yuko Social Sana. Kumuuliza Anasema Kuwa Mi Sio Wa Kwanza Kufanyiwa Hivo. Akaniambia Mtu Aliyemfanyia Huo Ufuska. Bahat Alkua Ni Rafki Angu.Kumpandia Hewan Anasema" Nlivoskia 2 Saut Yake Nkakata Sm" Hivyo Inaoyesh Ana Experience.
 
Back
Top Bottom