Omulasil
JF-Expert Member
- May 5, 2015
- 8,174
- 10,445
Hivi ulibadili ID? Mwandiko huu si ulidai ulitumiwa nauli na demu , halafu ukaambulia kununuliwa maembe na mananasi na mwanaume mwenzio maana hukuwa hata hela ya nauli?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app